SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 911
- 751
UTANGULIZI:
Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya.
UMUHIMU WA ELIMU
I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga
II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu
iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa UJUZI unaoupata kupitia Elimu.
CHANGAMOTO KATIKA ELIMU
-Elimu Kuanzia ngazi ya Msingi mpaka Sekondari,, hamfanyia Kijana kujitegemea.
-Masomo yanayofundishwa hayamjengi Kijana kujitegemea,pindi anaposhindwa kuendelea na masomo.
SULUHUSHO NA USHAURI KWA SERIKALI.
-Naomba SERIKALI licha ya masomo yanayofundishwa MASHULENI hasa kwenye ELIMU ya Msingi na Sekondari,,,iongezwe Masomo ya UJUZI mbalimbali,,,Hata ikitokea Mwanafunzi amashindwa kuendelea na ELIMU ya Juu, huo UJUZI umsaidie kwenye maisha yake huko mtaani.
MFANO WA UJUZI AMBAO NINGEOMBA UONGEZWE NI:-
1. Ujuzi wa kilimo
2. Ujuzi wa Sanaa mbalimbali kama ususi
3. Ujuzi wa wa muda mfupi wa Umeme
4. Ujuzi wa udereva wa Pikipiki n.k
Akimaliza UJUZI wake apewe cheti Cha mafunzo.ambacho kitamsaidia kuendelea na maisha yake.
4. Kufinyanga Vyungu na Majiko ya kupikia.
HITIMISHO:- pamoja na UJUZI huo licha kutolewa na VETA,,,Lakini Kuna wengine wanatoka kwenye familia duni kwahiyo wanapofeli kuendelea na masomo ya Juu,,inawawia ngumu kwenda Vyuo vya ufundi stadi VETA.Kwahiyo ni Bora SERIKALI iandae mkakati mwingine wa wanafunzi ambao ndio vijana wa wa taida letu la Tanzania,,,kuweka ujuzi mbalimbali kama nilioutaja hapo Juu, hio itafanya Nchi kukua zaidi,,sanjali na na Wataalamu wenye UJUZI mkubwa zaidi wenye ELIMU za Vyuo vikuu,,Ili kushirikiana Kwa pamoja kuweza kulisukuma gurudumu la maendeleo kwa ushirikiano huo.
MWISHO: UJUZI WOWOTE AKIWA nao Kijana ni rahisi kuchochea maendeleo ya Nchi Kwa Kasi kubwa.Mfano kama nchi ya CHINA,,imeweza kukua Kiuchumi,,Kwasababu Kila raia anafanya Kazi kutoka na UJUZI alio nao.ASANTENI SANA

Upvote
0