Mimi nitafutie wateja wakinga za ncha kali yani ..kidono..panga,visu shoka mikuki,bisibisi nakadhalika ila ukweli nikwamba utajalibiwa hapo hapo kuona ufa nisi wakazi yetu.
..KINKUT..
Nidawa ilio tengenezwa kupitia mnyama huyo kinkuti imechanganywa navizimba vingine,hii mzuka mkali unao panda kwamatumizi yakujihami naadui yoyote alie kukwaza hata wakiwa 5 watatoka nduki ilikuokoa maisha yao.password yakumuita nikukwazika au kukwazwa najambo hadi kupelekea kwamba huwezi kukubali,au umedhalilishwa hivo akija niatali sana ila kumbuka hii nispesho kwawatu wapole sana wasio wagomvi tuu anae hitaji mchongo huu tuwasiliane.