Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hii Tina mbadala mkuu tena natumia viatu ambayo ni chakula watu wanakula ila Tiba ya uhakika nimetibu watu.sema watu hatuna sapoti kupeleka ujuzi wetu mbeleUna taaluma ya biomedical science?
Tiba mbadala mkuu sema wengine wapiga kelele nipo vizuri sana kwenye dawa ya vidonda sema mtu kunishika mkono sa ningeitwa Dr kalunguyeye[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Una taaluma ya biomedical science?
🤣🤣Kinkuti nataka hii ila bhihanda nakula itakuajeMimi nitafutie wateja wakinga za ncha kali yani ..kidono..panga,visu shoka mikuki,bisibisi nakadhalika ila ukweli nikwamba utajalibiwa hapo hapo kuona ufa nisi wakazi yetu.
..KINKUT..
Nidawa ilio tengenezwa kupitia mnyama huyo kinkuti imechanganywa navizimba vingine,hii mzuka mkali unao panda kwamatumizi yakujihami naadui yoyote alie kukwaza hata wakiwa 5 watatoka nduki ilikuokoa maisha yao.password yakumuita nikukwazika au kukwazwa najambo hadi kupelekea kwamba huwezi kukubali,au umedhalilishwa hivo akija niatali sana ila kumbuka hii nispesho kwawatu wapole sana wasio wagomvi tuu anae hitaji mchongo huu tuwasiliane.