Ujuzi ni kufahamu na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi.
Kijana ni mtu kuanzia miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea kubwa.
Hakika asilimia kubwa ya vijana wengi huwa tunanjozi na ujuzi mwingi tunapoanza hatua za maisha ambazo kila mtu anahitaji kuzitimiza kwa wakati anapoona ni sahihi, lakini kwa kukosa usimamizi mzuri basi huwa tunapoteza mwelekeo na kushindwa kutumia ujuzi tulionao kufanya vitu.
Kutumia Mfano wa nchi ya China serikali iliandaa mpango mkakati kwa ajili ya kuwainua vijana kiujuzi na hata kuwapeleka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kujifunza na kuongeza uelewa katika technolojia mbalimbali ambazo zipo kwa sasa ni nchi inayoongoza kwa swala la technojia katika Nyanja nyingi, kuna haja kubwa Sana hata kwa serikali ya Tanzania kuweza kuweka mikakati ya kuweza kusomesha na kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kusaidia vijana kutumia ujuzi ambao walionao kutekeleza kauli mbiu ya KAZI iendelee katika Nyanja mbalimbali za kimaisha mfano kilimo, ufugaji,na ubunifu.
Ujuzi na vijana wanatakiwa kupewa kipaumbele cha kujifunza vitu mbalimbali na kupewa usimamizi utaowafanya kushiriki vyema katika kazi za kuijenga Tanzania iliyobora kwa miaka 10- 15 ijayo. Wizara ya vijana Tanzania unahitajika kujikita kuandaa mitaala boreshi mashuleni kusaidia ufundishaji mzuri wa ujuzi utakaotumiwa na zaidi kusaidia kukuza uchumi wa nchi na hata kuongeza ubora wa elimu ya Tanzania, pia kuruhusu mabadilishano ya vijana katika kanda zetu ili kusudi kuboresha mazingira yanayotuzunguka.
Takwimu ya serikali juu ya viwanda vilivyopo Tanzania ni viwanda 13 lakini kuna baadhi ya viwanda vilivyopo ambavyo ni vya muda mrefu havitumiki, chini ya uongozi ulio Bora tunahitaji kuona vijana wenye uwezo wa kufanya shughuli za viwandani kuhusishwa kikamilifu.

Upvote
3