Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Biashara haianzi kwa mamilioni, inaanza kwa uamuzi na akili ya kutoboa. Watu wengi mtaani wanabaki maskini si kwa sababu hawana hela, bali kwa sababu wanaogopa kuanza na kidogo. Unadhani kuanza na elfu 5 ni aibu, kumbe ndiyo daraja lako la kwanza kwenda kwenye uhuru wa kifedha.
Biashara haihitaji degree, wala lugha za kizungu nyingi — inahitaji moyo wa uthubutu, nidhamu ya pesa na uhusiano na watu tofauti. Usidharau mtu yeyote; kila mtu ana connection, idea, au somo linaloweza kukupa breakthrough.
Simu yako ni ATM ya kisasa, siyo ya kutumika kuchungulia maisha ya wengine tu. Tumia mitandao kuuza, kutangaza, kutafuta masoko. Siku hizi, mteja hasubiri kijibango dukani — anakutafuta online.
Na ukishindwa, usiogope. Kushindwa ni sehemu ya mchezo. Kama hujashindwa angalau mara mbili, hujaanza biashara kweli.
Usisubiri mazingira mazuri, yatengeneze. Usikate tamaa, hujachelewa. Na usikubali kufa maskini kwenye mtaa unaozalisha mamilionea kila mwaka.
Ukiamua leo, hata kwa elfu 2 tu kesho utasimulia hadithi yenye heshima.
Nitumie ujumbe inbox 📥 nikupe link ya kujiunga na group langu la wafanyabiashara 👍🏽