Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Kwa nini usiende wewe unayeeleweka
"Watu kama wewe ndio mnaifanya bangi ionekane mbaya".
Source: Unknown
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usiende wewe unayeeleweka
Sasa si ukamwakilishe,coz yeye haeleweki...bila shaka wewe utaeleweka na kutuwakilisha vizuri."Watu kama wewe ndio mnaifanya bangi ionekane mbaya".
Source: Unknown
Sasa si ukamwakilishe,coz yeye haeleweki...bila shaka wewe utaeleweka na kutuwakilisha vizuri.
Sijaelewa dhima ya swali lako
Na wewe ukiwa sehemu ya tatizo hilo.Nci hii ina matatizo makubwa kuliko tunavyodhani.
Na wewe ukiwa sehemu ya tatizo hilo.
Nimekupata mzeeNamna ulivoandika kwamba nchi zote za common wealth zimehudhuria ,nikashangaa kwamba ilitakiwa kuonajambo LA ajabu ,hizo nchi zingekua zimehudhuria au kuitika wito kwa America/marekani...nikwamba hao wameenda tu kumsikiliza baba yao UK....kama kama atajiondoa umoja wa ulaya ninaomba niendelee kuwatawala upya sio niwe nachangia sehemu tena ya bajeti kama malipo yakuwatawala kikoloni enzihizo......nihivo.Roberto Jana Liverpool imeshinda tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu sikatai lakini ile comment iliyozaa mjadala wetu umeiandika kitoto.Not at all. Najielewa, najitambua na more importantly SWOT Analysis yangu najua matokeo yake. Am not your average Tanzanian. Fuatilia michango yangu hapa (kama una sufficient mental capacity) utapata hint mimi ni wa aina gani.
I can see you are trying to find popularity in this forumSisi wajamaa hao mabepari wapiga dili hatuba habari nao wanataka kuja kutuibia dhahabu, almasi na tanzanite yetu, tuwe wazalendo tuko kwenye vita ya uchumi na mabeberu.. Tuwe Wazalendo tukiunge mkono chama chetu cha wanyonge na Rais wetu Jembe, Dr, Tingatinga JPM..
Sawa mkuu sikatai lakini ile comment iliyozaa mjadala wetu umeiandika kitoto.
Acha kupotosha ,sisi tumehudhria pia ,tunabalozi kule...binadamu tumeumbwa tofauti hizi safari ndefu kwanjia ya anga zinatabu...mfano Mimi hua nazimia ,nk....kutokwenda rais wetu awe anapenda au kwakikwazo chochte,kweli hela haijatumikaSisi wajamaa hao mabepari wapiga dili hatuba habari nao wanataka kuja kutuibia dhahabu, almasi na tanzanite yetu, tuwe wazalendo tuko kwenye vita ya uchumi na mabeberu.. Tuwe Wazalendo tukiunge mkono chama chetu cha wanyonge na Rais wetu Jembe, Dr, Tingatinga JPM..
Komenti za ajabu sana hizi.Haya ni mapambano ya kisiasa na kiuchumi kati ya Umoja wa nchi za Ulaya na Uingereza baada ya kujitoa kwenye Jumuiya ya nchi za Ulaya.
Hoja ya msingi sio kuhudhuria summit bali kuchagua upande wa vita ya kiuchumi kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Uingereza!
Komenti za ajabu sana hizi.
Kwani ni lazima kuchagua upande?
Matokeo ya haya yanayofanywa na serikali ya awamu hii bila shaka tutayajutia hapo baadae tukishayaona matokeo yake ambayo hayapo sasa hivi, na watu wala hawajishughulishi kuzitambua athari zitakazotukabili, na hata bila kujishughulisha hata kuzichambua tu tuzijue.
Sisi tumekomalia kuwa ni matajiri, na wengine wote wanatafuta tu kuja kutuibia utajiri wetu. Na bado watu na akili zao wanaamini mambo kama haya.
Nchi haikatazwi kulinda mali zake, lakini nyakati hizi sio za kujitenga na dunia.
Hapo namwona Rwanda, Uganda, Kenya..., wote washirika wetu kwenye jumuia yetu ya Afrika Mashariki. Sisi tutakuwa soko la hawa wenzetu bila ya ubishi.
Hata tukiamua kuwa na TanzaExit yetu hatutafua dafu, tutakwenda wapi! SADC nako hapatatosha na huko AfCFTA tutauziwa tu na hawa wenzetu wanaojenga misingi ya uwekezaji imara katika wakati 'critical' kama huu.
BTW: Hivi 2019 tumepata FDI kiasi gani? Hata kutaja tu siku hizi inakuwa ni aibu?
Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?Acha mawazo finyu mkuu achana na wengine wa jumuia ya madola. Tunaongelea sisi kama watanzania nchi hii ina watu zaidi ya milion 50, wasomi na wasio wasomi, wakulima, wajasiliamali n.k wote wanatafuta fursa. Si rais wetu kila siku anaongea kuhusu swala la fursa sasa hiyo ni nini? Kila akiapisha balozi anasisitiza waende wakalete wawekezaji si ndiyo? Halafu yeye mwenyewe kwenye fursa kama hizo anakaa kando🙁. Ndiyo maana tunashindwa hata na Rwanda na hili ni tatizo la watu wenye mawazo kama yako mkuu. Hawatolipeleka hili taifa mbali shauri ya muono hafifu wa uchumi na maendeleo.
Sawa kaka lakini umeona ulivyotoa yale maoni yako... Kidharau fulani hivi... Ni maoni mazuri lakini namna ya kuwasilisha nayo ina mata... You are professional...tunahitaji kuona utofauti wako na siye... Ni hayo tu ila kukuelewa nimekuelewa.It is a matter of opinion. Lakini ukitaka (na uwe impartial), jaribu kusikiliza au kupitia hotuba za watu kwenye international forums halafu linganisha na za subject of your agitation halafu niambie kwa mtazamo wako kama zinafit kwenye forums.
Naomba tuwe wakweli; Kichuya ni footballer lakini hatuwezi kumlinganisha na Messi.