UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

Hapa kuna fursa nzuri lakin Tanzania hawataweza kuzifuatilia,bado sana.
Kama wangekuwa na nia pale brexit inaongelewa wangekuwa washaanza kunusanusa na kujipanga kama wanavyofanya wakenya au walivyofanya Canada na Australia kwa kuwaalika kwao.
Cha ajabu kitakachotokea ni kuwa wazungu watakuja kulima alafu wataondoka na mazao yao,sababu hii ndo inatokea mara nyingi kama wenyeji sio wachang'amkaji.Nakumbuka siku nilliona Tangazo kwenye la ice cream kwenye duka linaitwa waitrose (supermarket ya bei kidogo),"ice cream made with Tanzanian bloody oranges", sijui wangapi wanayajua haya machungwa,huo ni mfano mmoja tu bado hujaingiza green beans,aubergine vyote toka bongo vinauzwa uk na watu ambao sio watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna ulivoandika kwamba nchi zote za common wealth zimehudhuria ,nikashangaa kwamba ilitakiwa kuonajambo LA ajabu ,hizo nchi zingekua zimehudhuria au kuitika wito kwa America/marekani...nikwamba hao wameenda tu kumsikiliza baba yao UK....kama kama atajiondoa umoja wa ulaya ninaomba niendelee kuwatawala upya sio niwe nachangia sehemu tena ya bajeti kama malipo yakuwatawala kikoloni enzihizo......nihivo.Roberto Jana Liverpool imeshinda tena
Sijaelewa dhima ya swali lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mzee
 
Sisi wajamaa hao mabepari wapiga dili hatuba habari nao wanataka kuja kutuibia dhahabu, almasi na tanzanite yetu, tuwe wazalendo tuko kwenye vita ya uchumi na mabeberu.. Tuwe Wazalendo tukiunge mkono chama chetu cha wanyonge na Rais wetu Jembe, Dr, Tingatinga JPM..
 
Not at all. Najielewa, najitambua na more importantly SWOT Analysis yangu najua matokeo yake. Am not your average Tanzanian. Fuatilia michango yangu hapa (kama una sufficient mental capacity) utapata hint mimi ni wa aina gani.
Sawa mkuu sikatai lakini ile comment iliyozaa mjadala wetu umeiandika kitoto.
 
I can see you are trying to find popularity in this forum
 
Sawa mkuu sikatai lakini ile comment iliyozaa mjadala wetu umeiandika kitoto.

It is a matter of opinion. Lakini ukitaka (na uwe impartial), jaribu kusikiliza au kupitia hotuba za watu kwenye international forums halafu linganisha na za subject of your agitation halafu niambie kwa mtazamo wako kama zinafit kwenye forums.

Naomba tuwe wakweli; Kichuya ni footballer lakini hatuwezi kumlinganisha na Messi.
 
Acha kupotosha ,sisi tumehudhria pia ,tunabalozi kule...binadamu tumeumbwa tofauti hizi safari ndefu kwanjia ya anga zinatabu...mfano Mimi hua nazimia ,nk....kutokwenda rais wetu awe anapenda au kwakikwazo chochte,kweli hela haijatumika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komenti za ajabu sana hizi.

Kwani ni lazima kuchagua upande?

Matokeo ya haya yanayofanywa na serikali ya awamu hii bila shaka tutayajutia hapo baadae tukishayaona matokeo yake ambayo hayapo sasa hivi, na watu wala hawajishughulishi kuzitambua athari zitakazotukabili, na hata bila kujishughulisha hata kuzichambua tu tuzijue.

Sisi tumekomalia kuwa ni matajiri, na wengine wote wanatafuta tu kuja kutuibia utajiri wetu. Na bado watu na akili zao wanaamini mambo kama haya.

Nchi haikatazwi kulinda mali zake, lakini nyakati hizi sio za kujitenga na dunia.

Hapo namwona Rwanda, Uganda, Kenya..., wote washirika wetu kwenye jumuia yetu ya Afrika Mashariki. Sisi tutakuwa soko la hawa wenzetu bila ya ubishi.

Hata tukiamua kuwa na TanzaExit yetu hatutafua dafu, tutakwenda wapi! SADC nako hapatatosha na huko AfCFTA tutauziwa tu na hawa wenzetu wanaojenga misingi ya uwekezaji imara katika wakati 'critical' kama huu.

BTW: Hivi 2019 tumepata FDI kiasi gani? Hata kutaja tu siku hizi inakuwa ni aibu?
 

Hoja ya msingi sana hii. Unfortunately; watu waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii hawatakuelewa.
 
Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?
Sisi tuendelee na juhudi zetu za kujifamyia mambo yetu na kujiletea maendeleo kwa kutumia nguvu zetu, wakituona 'we are not giving a f*ck' watakuja wao wenyewe kujikomba kwetu.
 
Sawa kaka lakini umeona ulivyotoa yale maoni yako... Kidharau fulani hivi... Ni maoni mazuri lakini namna ya kuwasilisha nayo ina mata... You are professional...tunahitaji kuona utofauti wako na siye... Ni hayo tu ila kukuelewa nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…