KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Sisi hatutajuta kwa kuwa tunajua serikali inafanya nini.UK wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji. Kaa kimya
Wewe kweli ni kiazi.Rwanda inaishinda URT maeneo yapi haswa au ndiyo kazi zenu za kutumika kama toilet paper
Kwanini uwe huna cha ku export?Hamna kipya hapo kama huna cha ku export , bora ujikalie nyumbani tu.
Kwanini uwe huna cha ku export?
Kukosa cha ku export maana yake ni:-
1. Huna maliasili (malighafi)
2. Huna akili
3. Huna vyote viwili hapo juu.
Kwa taarifa za Uhakika ni kuwa mwakilishi wa Tanzania alihitaji kwenda lakini Kiingereza kikawa kikwazo!Nchi 21 za Afrika zimehudhuria
Wawakilishi zaid ya 1500
Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.
Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.
21 African nations
1500+ attendees
£6.5bn of commercial deals announced
View attachment 1328928
Nchi zote za common wealth afrika zimehudhuria?
Ndugu yangu hoja ya maana imewekwa wewe unaandika ujinga. Hivi lini mtajadili mambo ya maana ama na wewe ni mpumbavu?Acha vituko na wewe, jiwe akienda huko atakwenda kuongea kitu gani kikaeleweka?
Unajuaje kama ni vya Tanzania kama havina Label ama ni yale ya vijiweni ya wala unga na wavuta bhange?Hapa kuna fursa nzuri lakin Tanzania hawataweza kuzifuatilia,bado sana.
Kama wangekuwa na nia pale brexit inaongelewa wangekuwa washaanza kunusanusa na kujipanga kama wanavyofanya wakenya au walivyofanya Canada na Australia kwa kuwaalika kwao.
Cha ajabu kitakachotokea ni kuwa wazungu watakuja kulima alafu wataondoka na mazao yao,sababu hii ndo inatokea mara nyingi kama wenyeji sio wachang'amkaji.Nakumbuka siku nilliona Tangazo kwenye la ice cream kwenye duka linaitwa waitrose (supermarket ya bei kidogo),"ice cream made with Tanzanian bloody oranges", sijui wangapi wanayajua haya machungwa,huo ni mfano mmoja tu bado hujaingiza green beans,aubergine vyote toka bongo vinauzwa uk na watu ambao sio watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hili jamvi limekimbiwa na Ma GT wote tuliobaki ni wabwabwajaji wengi wetu. Watu wamesahau kua Tanzania tulikataa ku sign EPA kwa wale wasiojua kutoka Afrika Mashariki Kenya na Rwanda peke yao walisaini hii Agreement. Sasa unadhani Tanzania wataalikwa? Kwasiojua EPA ni Economic Partnership Agreement.Berlin Conference 1884.Sasa naona wameamua kuja mmoja mmoja. France-Africa. Uk-Africa,Russia-Africa,China-Africa,Japan-Africa. Hapa naweka conclusion Africa is potentiel. Thomas Sankara,Patrice Lumumba i wish mngekuwa hai.
UK ni moja wa nchi yenye FDIs nyingi na inayotoa misaada mingi Tanzania. Kuikwepa ni sawa na kuingiza kichwa chini ya mchanga huku kiwiliwili chote kipo nje.Haya ni mapambano ya kisiasa na kiuchumi kati ya Umoja wa nchi za Ulaya na Uingereza baada ya kujitoa kwenye Jumuiya ya nchi za Ulaya.
Hoja ya msingi sio kuhudhuria summit bali kuchagua upande wa vita ya kiuchumi kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Uingereza!
UK ni moja wa nchi yenye FDIs nyingi na inayotoa misaada mingi Tanzania. Kuikwepa ni sawa na kuingiza kichwa chini ya mchanga huku kiwiliwili chote kipo nje.
Unajua hili jamvi limekimbiwa na Ma GT wote tuliobaki ni wabwabwajaji wengi wetu. Watu wamesahau kua Tanzania tulikataa ku sign EPA kwa wale wasiojua kutoka Afrika Mashariki Kenya na Rwanda peke yao walisaini hii Agreement. Sasa unadhani Tanzania wataalikwa? Kwasiojua EPA ni Economic Partnership Agreement.
Haya buana una uelewa mkubwa sanaAgreed. Wewe ni mbwabwaji.
Una uhakika kama tulialikwa?FDI(Foreign Direct Investment) ni uwekezaji wa nchi husika kwenye nchi iliyo na mahusiano ya Kidiplomasia. Uingereza ni nchi iliyoendelea kiuchumi na kiviwanda.
Hakuna sababu za kimsingi kwa Tanzania kutoshiriki kwenye Summit hiyo zaidi ya upuuzi na viongozi kuhofia kuongea lugha ya Malkia…!
Kama huamini Tanzania ni tajiri kwa resources ilizonazo ardhini wewe ni pumbavu mkubwa sana.
Tatizo la Tanzania sio umaskini bali namna bora ya Ku- exploit raslimali hizo toka ardhini na kuzitumia sahihi kwa maslahi ya watanzania wote ,ikiwemo na kuzichakata, pasi kujali,jinsia,dini,rangi ya mtu.
Viongozi wetu wakillitambua hili na wakaacha ubinafsi taifa litapaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hili jamvi limekimbiwa na Ma GT wote tuliobaki ni wabwabwajaji wengi wetu. Watu wamesahau kua Tanzania tulikataa ku sign EPA kwa wale wasiojua kutoka Afrika Mashariki Kenya na Rwanda peke yao walisaini hii Agreement. Sasa unadhani Tanzania wataalikwa? Kwasiojua EPA ni Economic Partnership Agreement.