Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Mie natoa ushauri tu kwa wale wote waislam na waso waislam. Someni kitabu cha Haroon Yahya 'The miracles of ALLAH in the Koran'. Ukweli wa kipi kitabu chenye maneno sahihi ya Mwenyezi Mungu mtaupata.
Mkuu Sumar heshima mbele.
Hiki kitabu nitakipataje au kinapatikana wapi ?.'The miracles of ALLAH in the Koran'