UK firm to build 2 tr resort in Zanzibar

Wameamua kufungulia? Kwa wakolini? Waingereza walipotoka Zanzibar walimuachia Mwarabu visiwa si ajabu hiyo resort itaendeshwa na Mwarabu!
 
Manji aliponyimwa coco beach angeenda Zenji... Ila kule hawauzi ardhi sijui imekuwaje kwa waingereza? Au ndio Yale aliyosema Mengi kuna mchezo mchafu umechezwa!
 
Uwe na akili,Tanzania nzima ardhi haiuzwi
Uelewa wako ni -zero kabisaa,aibu kweli kama kuna watu wenye uelewa kama wako mpaka sasa
 
More than 70% ya Resorts zote Zanzibar zinamilikuwa na Forigners na wengi ni from Europe.
Na kuna baadhi ya Minister wa Tanzania Bara nao wanamiliku Hotel.
Ujifunze kuelewa na kufuatilia.
Hao waarabu unaosema hawana hata muda huo wa ku concentrate kwenye biashara ya Hotels kwa kiwango hicho
 
Uwe na akili,Tanzania nzima ardhi haiuzwi
Uelewa wako ni -zero kabisaa,aibu kweli kama kuna watu wenye uelewa kama wako mpaka sasa
kama vita vile unanichukulia.. ok uelewa wangu ni zero?

hivyo wewe uelewawako ni kiasi gani mkuu? naomba uweke vufungu.. vya sheria za ardhi zanzibar na Tanzania kwa ujumla.. na unipe tafsiri unazizielewa wewe mwenyewe kuhusu yale matangazo yanayosema tunauza viwanja na mashamba.
 
Manji aliponyimwa coco beach angeenda Zenji... Ila kule hawauzi ardhi sijui imekuwaje kwa waingereza? Au ndio Yale aliyosema Mengi kuna mchezo mchafu umechezwa!
Manji aliponyimwa coco beach angeenda Zenji... Ila kule hawauzi ardhi sijui imekuwaje kwa waingereza? Au ndio Yale aliyosema Mengi kuna mchezo mchafu umechezwa!
[HASHTAG]#manji[/HASHTAG] zanzibar amepewa mji mkongwe aiendeleze stone town village.
 
Back
Top Bottom