UK gives work permit to non-graduate Kenyans

UK gives work permit to non-graduate Kenyans

Kawaida Wakenya wanafahamika kwa kujituma sio wazembe kama wenzetu hawa, ndio maana diaspora wetu wanatuma hela ambayo inawapa majirani hasira sana kuona wa kwao wameganda huko nje hawana msaada wowote.
Mboyoyo
 
Wakwenu watu wa ze ze ze na waoga waoga wasiojiamini wanaishia kufulia huko, unakuta mtu anajiita diaspora lakini hovyoo kabisa.... Yaani nyie ujamaa uliwalemaza kwa kweli na ndio maana nimeona taarifa za juzi watalii wakija Tz hawataki kurudi tena, unalipa mahela kisha unapokelewa na mtu anayekenua meno tu na kusema sema ze ze ze hamna chochote kinachoeleweka
Kelele unazipenda sikuhz Kwani uliambiwa watalii huja ili wakuskie unachosema au kuangalia anachokiona
 
Huyu ndugu yangu na hii "Kiingereza" yake does he stand a chance? [emoji23] [emoji23]
Siukae hapo Nairobi uchuuze mitumba kulikoni ukawe muosha vyombo kwenye miji ya watu. ....
 
Wakwenu watu wa ze ze ze na waoga waoga wasiojiamini wanaishia kufulia huko, unakuta mtu anajiita diaspora lakini hovyoo kabisa.... Yaani nyie ujamaa uliwalemaza kwa kweli na ndio maana nimeona taarifa za juzi watalii wakija Tz hawataki kurudi tena, unalipa mahela kisha unapokelewa na mtu anayekenua meno tu na kusema sema ze ze ze hamna chochote kinachoeleweka
Wakenya mnanifurahishaga hapo tu
Yaani kuongea kizungu hapo waingereza waliwaharibu kabisa
 
Kelele unazipenda sikuhz Kwani uliambiwa watalii huja ili wakuskie unachosema au kuangalia anachokiona

Whole experience bana... ingekua kuona tu wangebaki kwenye zoo za kwao huko, sasa anakuja mnampa bad experience mpaka anajihisi yeye ni nyumbu ambaye amekuja kutazama nyumbu.
 
Wakenya mnanifurahishaga hapo tu
Yaani kuongea kizungu hapo waingereza waliwaharibu kabisa

Kingereza kina raha yake bana na ndio maana unaona diaspora wetu wanatuma hela nyumbani mara kumi ya wa kwenu....nyie mnakwenda kukisomea shuleni lakini kilishawashinda kisa uzembe wenu, hamjui kujituma, mkishindwa mnaanza zile za sizitaki mbichi, mara ooh cha mkoloni mara ooh muingereza. Unakuta waziri wenu wa elimu profesa kabisa lakini hata sentensi moja ya kingereza inamshinda kutunga, yule sijui anaitwa Ndalichako...hehehe yaani hata ikulu ndio kabisa kilishawashinda mpaka mkulu ameshindikana kutoka nje....
 
Siukae hapo Nairobi uchuuze mitumba kulikoni ukawe muosha vyombo kwenye miji ya watu. ....
That is a lazy mentality. And just in case you didn't know, most Kenyans working abroad are professionals. If they are doing odd jobs as you imply above, hizo pesa zote wanatuma nyumbani zinatoka wapi? I have relatives and neighbours who work in Germany and Switzerland and all of them are professionals
 
Back
Top Bottom