Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel engines hivyo > 50% ya treni za UK ni diesel na nchi ya Ireland ndo kabisaa treni ya umeme ni mji mkubwa wa Dublin na viunga vyake tu kulikobakia kote ni diesel locomotive.
sisi tulikuwa tunaifikisha hii ngoma mpaka Mwanza na Kigoma, duh kweli tulikuwa mbele ya muda ni lazima wakuondoe tu …
sisi tulikuwa tunaifikisha hii ngoma mpaka Mwanza na Kigoma, duh kweli tulikuwa mbele ya muda ni lazima wakuondoe tu …