Hapo alipo anajona mzima mzima kabisa,Wahi ukafanyiwe vipimo vya afya ya akili.
Aisee kwakweli jamaa anahitaji msaadaWahi ukafanyiwe vipimo vya afya ya akili.
Huyu kaleta mpya leo, hiyo South Africa yenye mtandao mkubwa wa metro train bado huwezi kuilinganisha na Uingereza.Hapo alipo anajona mzima mzima kabisa,
Mkuu,shukuru Mola una fua moja .Ungepata "mafua tatu" ungekwama sana.MGIABIWA WADAJANIA WEGI NI VICHAHAA MUHE MDAELEWA
mshukuruni Mungu kwa kumleta Magufuli aliyeanzisha hicho kitu. mkumbukeni kwa hilo.kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel engines hivyo > 50% ya treni za UK ni diesel na nchi ya Ireland ndo kabisaa treni ya umeme ni mji mkubwa wa Dublin na viunga vyake tu kulikobakia kote ni diesel locomotive.
sisi tulikuwa tunaifikisha hii ngoma mpaka Mwanza na Kigoma, duh kweli tulikuwa mbele ya muda ni lazima wakuondoe tu …
View attachment 2984349
View attachment 2984348
kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel engines hivyo > 50% ya treni za UK ni diesel na nchi ya Ireland ndo kabisaa treni ya umeme ni mji mkubwa wa Dublin na viunga vyake tu kulikobakia kote ni diesel locomotive.
sisi tulikuwa tunaifikisha hii ngoma mpaka Mwanza na Kigoma, duh kweli tulikuwa mbele ya muda ni lazima wakuondoe tu …
View attachment 2984349
View attachment 2984348