Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo jamaa wa UK ndio kafosi itolewe iyo Hati y ICC kwasasa UK akanyaji uyu paka. Kwanza watu wakisikia tu anakuja iyoiyo siku kutawakamoto upya.. labda ufaransa anaweza kwenda japo nao walisema watamshika, lkn Uk chini ya uyu mwamba PM mpya asogei kule.Wazungu hawaaminiki
Sidhanii kama watamkamata ila tu kutolewa hio warranty sio jambo dogo inaonesha kwamba wazayuni sio tena specho kama walivyojiamini kuaUyo jamaa wa UK ndio kafosi itolewe iyo Hati y ICC kwasasa UK akanyaji uyu paka. Kwanza watu wakisikia tu anakuja iyoiyo siku kutawakamoto upya.. labda ufaransa anaweza kwenda japo nao walisema watamshika, lkn Uk chini ya uyu mwamba PM mpya asogei kule.
Sawa ngoja aende nchi yoyote mwanachama ndio tutapata ukweli. Hivi unajua waziri mkuu hana immunity!!Usidanganywe kaka na hizo Stori hakuna mtu wa kumkamata netanyahu hasa hasa hizo nchi za ulaya
Hivi umesoma hii barua ukaielewa?
inashashangaza mno ,wabunge watatu independently wamejikusanya wakaandika kijarida then inaletwa kama jambo la serikali ya UKHivi umesoma hii barua ukaielewa?
Ebu muwe mnasoma mnaelewa kabla ya kukurupuka kuandika. Na moderator wa Jamii forum nao wanruhusu huu upotoshaji na wanapambana na wanaojaribu kuweka vitu sawa.
Soma hiyo barua na uelewe, halafu angalia walioandika hiyo barua ni akina nani na wamemwandikia nani. Halafu jiulize huo kama ndo msimamo wa UK.
Hiyo barua mkuu unaweza weka maoni yako, ni mambo ambayo nimeyaibua kwenye media baada ya UK kutangaza kumshika jamaa atakapotia maguuHivi umesoma hii barua ukaielewa?
Ebu muwe mnasoma mnaelewa kabla ya kukurupuka kuandika. Na moderator wa Jamii forum nao wanruhusu huu upotoshaji na wanapambana na wanaojaribu kuweka vitu sawa.
Soma hiyo barua na uelewe, halafu angalia walioandika hiyo barua ni akina nani na wamemwandikia nani. Halafu jiulize huo kama ndo msimamo wa UK.
Wataishia tu kuigiza kumkamata lakini hawatamkamata
Ni sawa mkuu lakini shilingi ina pande 2., Kama ICC wameianzisha wao ili kudhibiti mauaji ya binaadamu yasiyo na hatia na mahakama maamuzi ndo yametoka kuna wajibu wa kuheshimu na ndivyo ilivyo., Israel ipo na haitaondoka lakini Netanyahu atashughulikiwa kwa mauaji ata France wametangaza kuheshimu maamuzi ya ICC, Ujerumani, Australia, Canada, Finland na nchi nyengine wanachama tele, kama watakataa kutekeleza umoja wao wa ICC utakuwa haukuleta tija wala maana na kwa wazungu hilo dosari kubwa sanaWaisraeli wanaifluence kwenye nafasi za maamuzi kwa nchi nyingi za ulaya na pia sekta nyeti wamezishika wao.
Hilo jambo ni gumu.
Hao UK ndio waliosaidia kupatikana kwa Jewish State halafu leo wamkamate Netanyahu??
Check your sources again.
Wanawatia moyo wajinga.Wazungu hawaaminiki
Weka hata taarifa rasmi ya UK kwamba watamkamata Netanyahu siyo hizo porojo zako.Hiyo barua mkuu unaweza weka maoni yako, ni mambo ambayo nimeyaibua kwenye media baada ya UK kutangaza kumshika jamaa atakapotia maguu