UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

Uyo jamaa wa UK ndio kafosi itolewe iyo Hati y ICC kwasasa UK akanyaji uyu paka. Kwanza watu wakisikia tu anakuja iyoiyo siku kutawakamoto upya.. labda ufaransa anaweza kwenda japo nao walisema watamshika, lkn Uk chini ya uyu mwamba PM mpya asogei kule.
Soma vizuri elewa content usihemuke
 
Netanyau hawezi kukamatwa kwasababu hawezi kwenda hizo nchi zote walizotangaza watamkamata akienda wanamkamata kweli.
 
Hivi umesoma hii barua ukaielewa?
Ebu muwe mnasoma mnaelewa kabla ya kukurupuka kuandika. Na moderator wa Jamii forum nao wanruhusu huu upotoshaji na wanapambana na wanaojaribu kuweka vitu sawa.

Soma hiyo barua na uelewe, halafu angalia walioandika hiyo barua ni akina nani na wamemwandikia nani. Halafu jiulize huo kama ndo msimamo wa UK.
Wewe ndio hujielewi, kuna statement ya msemaji wa waziri mkuu
 
Waisraeli wanaifluence kwenye nafasi za maamuzi kwa nchi nyingi za ulaya na pia sekta nyeti wamezishika wao.

Hilo jambo ni gumu.

Hao UK ndio waliosaidia kupatikana kwa Jewish State halafu leo wamkamate Netanyahu??

Check your sources again.
Kwani Netanyahu ndio Israel? Mbona UN pia ilichangia kuanzishwa Israel ila kila siku inatoa matamko ya kuipinga.
 
Uyo jamaa wa UK ndio kafosi itolewe iyo Hati y ICC kwasasa UK akanyaji uyu paka. Kwanza watu wakisikia tu anakuja iyoiyo siku kutawakamoto upya.. labda ufaransa anaweza kwenda japo nao walisema watamshika, lkn Uk chini ya uyu mwamba PM mpya asogei kule.
jidanganye hu yo chief proseutor was ICC anatafutwa tafutwa
 
Waisraeli wanaifluence kwenye nafasi za maamuzi kwa nchi nyingi za ulaya na pia sekta nyeti wamezishika wao.

Hilo jambo ni gumu.

Hao UK ndio waliosaidia kupatikana kwa Jewish State halafu leo wamkamate Netanyahu??

Check your sources again.
Na hao hao UK ndio waliokataa kuundwa kwa Jewish state 1917 na kuja kukubali 1947.
Geopolitics interests huwa zinabadilika.
Hivi unaamini kama Iran alikua swahiba mkubwa sana wa Israel na Israel ilimsaidia Iran vita ya Iraq!?
Ila Sasa hivi ni worst enemies ever.
 
Back
Top Bottom