UK watangaza kumshika Netanyahu endapo atatia maguu

Soma vizuri elewa content usihemuke
 
Netanyau hawezi kukamatwa kwasababu hawezi kwenda hizo nchi zote walizotangaza watamkamata akienda wanamkamata kweli.
 
Wewe ndio hujielewi, kuna statement ya msemaji wa waziri mkuu
 
Waisraeli wanaifluence kwenye nafasi za maamuzi kwa nchi nyingi za ulaya na pia sekta nyeti wamezishika wao.

Hilo jambo ni gumu.

Hao UK ndio waliosaidia kupatikana kwa Jewish State halafu leo wamkamate Netanyahu??

Check your sources again.
Kwani Netanyahu ndio Israel? Mbona UN pia ilichangia kuanzishwa Israel ila kila siku inatoa matamko ya kuipinga.
 
jidanganye hu yo chief proseutor was ICC anatafutwa tafutwa
 
Waisraeli wanaifluence kwenye nafasi za maamuzi kwa nchi nyingi za ulaya na pia sekta nyeti wamezishika wao.

Hilo jambo ni gumu.

Hao UK ndio waliosaidia kupatikana kwa Jewish State halafu leo wamkamate Netanyahu??

Check your sources again.
Na hao hao UK ndio waliokataa kuundwa kwa Jewish state 1917 na kuja kukubali 1947.
Geopolitics interests huwa zinabadilika.
Hivi unaamini kama Iran alikua swahiba mkubwa sana wa Israel na Israel ilimsaidia Iran vita ya Iraq!?
Ila Sasa hivi ni worst enemies ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…