Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali


Kwa miaka ya 60, mwalimu nyerere was right. Kwa sasa miaka ya 2000, tukikuta ofisi moja ina makabila haya kwa wingi, tutakuwa na mashaka if tribalism is not practised. Kupata ukweli it is simple, nenda kwenye ofisi ambayo head wake ni kutoka makabila haya matatu, majority ya wafanyakazi watakuwa kutoka kwenye kabila la bosi huyo. Hili halihitaji research methodology ya university level kulitafiti. Anyway, tujitahidi picha hiyo tuifute. Tusipigane kwa hilo maana linarekebishika.
 
Mada imeenda shule!! Chukua zote sio tano.
 
Bravooo!!! Unyakyusani hakuna tatizo la dawati. Wazazi wanachonga madawati la mtoto anapoanza darasa la kwanza. Ni kweli makabila haya yanavalue sana elimu. Inabidi hata sisi wengine tuige tuanze kuivalue ili baadae tuwe wasomi wengi tushike nafasi nyeti.
 
Inji hii haina ukabila. Solution TWENDE SHULE!!!!
 
Kama vigezo na sifa za kushika hizo nafasi wanazo,wasipewe ila watafutwe makabila mengine ili isionekane ni ukabila?
 
Ndugu samvulachole thibitisha madai yako tupate fursa nzuri ya kucoment.
 
we ndo ****** kweli maneno gani hayo kwani warabu na wahindi sio watanzani pumbaf yako
 
Wamasai jeee??maeneo yetu mpaka wanzungu wamegawiwaa,,!hatuna hta sehem za kuchungia wanyama kaz kweli
 

MM umeonyesha umahili wa kufuatilia mambo. Je ina maana juhudi za mwalimu katika kutaifisha shule za wamisionari, za waasia na wazungu na pia kuweka mfumo wa quota ili mikoa ambayo ilikuwa nyuma ki elimu ipate nafasi zaidi hasa kwa wanaoingia sekondari hazikuzaa matunda. Au ufuatiliaji haukuwepo?
 
Ninachojua nakiko wazi kuhusu hilo ni kuwa kunasehemu zenye element ya UDINI hasa NSSF....!! fuatilia.
 
mmmh, isije ikawa uzi huu umewalenga watu fulani!! any way unaweza kuwa sawa lakini tujadili kama kuna ukabila unaathiri nini jamii yetu lakini kama hakuna athari tusijimbane....
 
shule wandugu

shule imefanyaje? Unataka kutuambia kwamba watu wa makabila fulani wamejazwa katika taasisi hizo kwa sababu wao pekee wamesoma? Ah, hiki ni kichekesho kingine. Kipeleke kwa akina mpoki, siyo sehemu serious, iliyojaa ma-brain kama jf. Kwa taarifa yako, kama kuna mambo yanahatarisha usalama wa nchi, hilo ni mojawapo!
 
Inaweza ikawa na ukweli ndani yake! Hebu wadau wenye uwezo wa kuchunguza hili tusaidieni ili tuweze kupata vielelezo vya kujadili. Kama ni kweli basi nchi hii inaelekea kubaya. Itafika kipindi baadhi ya makabila yanaweza kuhodhi njia kuu zote za uchumi na makabila yaliyobaki yakabaki masikini wa kutupwa. Kichere na wengine tusaidieni kupata vielelezo vya kweli na wala si kudhani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…