MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
mmesahau shirika moja linaitwa HHHF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali
Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?
mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?
Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?
-JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY
Ni kweli we hv to admit hawa jamaa walitutangulia na wapo wengi wenye shule in comparison with Makabila mengine na ndo tayari wapo kw system hivyo ni ngumu kufikia uwiano ulio sawa ukizingatia yako makabila zaidi ya 120 hapa nyumbani,so lets take it az a challenge tuwapeleke wanetu shule ili huko mbeleni na wanetu wasiishie kulalamika.. Thats my take
Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali
Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?
mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?
Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?
-JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY
Acheni wivu nafasi ziko wazi hamuombi, mnataka mfungiwe kazi viunoni? kule UN napo ukabila upo?:bowl:
Mie napita tu sipendi kuchangia lakini Mambo ya Ndani je? IGP-Polisi, CGP-Magereza, NIDA,Zimamoto,Idara ya Malalamiko(Chagas)
kila alipopita muarabu na kale kadini kake ameleta balaa,wamisionary walielimisha watu wa maeneo husika.fanyeni utafiti ,anzia na idara ya afya utagundua madaktari wengi wanatoka wapi,halafu jiulize,na wao walipewa udoc wa kutibu binadamu kwa ukabila?ndg zangu ,acheni kulialia,somesheni watoto wenu,uzeni ng·ombe,ardhi na vingine,msomeshe