Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mwanakijiji angetufafanulia pia sisi watu wa kusini ( Lindi na Mtwara). Mbona sisi tulikuwa natuna Misikiti mingi huko and we had minting press kule Malindi.... Na pis tulisoma elim dunia na tukamaliza vyuo vya Madrasa! Wengine tuna masters za sharia tulizosoma Misri ila hatujapata kuteuliwa kuwa washauri. Ina maana elimu tulizopata ni fake?
 
Tatizo kubwa la Watanzania si UDINI bali ni ukabila kwani kuna Makabila ambayo hayataki kuwa chini ya kabila lingine wataleta fitina na chuki kuhakikisha kuwa kila sehemu wanaongoza wao hii ni hatari na ndio inayoleta hata kwenye kuwania urahisi 2015
 
Sasa hivi imefikia kubalance kila sehemu kwani kuna wasomi wengi karibu makabila yote na dini zote
 
"By Samvulachole"

Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali

Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?

mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?

Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?

Mbona humjasema kuhusu madaktari walioko mahosipitalini, Wahadhiri katika vyuo vikuu, Mapolisi na Waalimu. Huko wakikaa sio ukabila? angalieni pia idadi yao kwenye sekondari na vyuo maana ndiko wanakoanzia
 
Kama ni kulaumu tulaumu nini mkoloni? Masuala yote ya kahawa sijui mazao ya biashara kwangu hayana mashiko maana Mara kitu hicho hakipo na kilichompatia Nyerere faida ni kuwa mtoto wa chief, hicho ndo kimempa na ujiko JK sijaelewa Mkapa aliingiaje humo lakini vinginevyo kote hadi kule ugogoni akina baba yake na mzee wa kudadadeki wakati wa kampeni za kule Arumeru faida pekee ni kuwa watoto wa machief hadi kule uheheni akina Adam Sapi Mkwawa na kotekote hadi akina Kinjikitile (siajabu labda Ben ni mmoja wao). Kama hamjajua haya ndo matatizo ya Rwanda na DRC na Burundi kukuza watoto fulani na kudidimiza wengine matokeo yake fursa zote zinaenda kwa koo fulani tu! Tatizo TZ si ukabila wala udini bali uchief ulopandikizwa na wakoloni. Kokote na mikoa yote wawe ni kule waliko nyuma kwa sasa au kule waliko mbele kwa sasa wote wanaonyanyuka ni kundi hilo. Mwishowe utajagundua kitu kimoja nacho ni 'HIMA EMPIRE'! Maana mbona akina Sokoine na Lowasa kwao hakuna kahawa wala mazao ya biashara hata kulima walikuwa hawalimi jamani.
 
Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali

Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?

mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?

Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?

-JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY

huu ujinga ulioandika hapo juu ndo serikali ya jk inatumia imefikia sasa hata mtu kama hajui kusoma na kuandika anaingia form one ili kubalance dini, kabila, na jinsia, hii nchi ni ya wajinga, taaluma imepigwa teke.
 
Ni kweli ukabila upo tena sana, namkumbuka mbunge wa zamani wa Nzega ndugu Selelii alimbana Mramba wakati huo waziri wa fedha sababu za makamishna wote wa TRA, zaidi ya asilimia 90% wanatoka mkoa mmoja (Kilimanjaro) Kingunge aliingilia kati ati hoja yake inasababisha mgawanyiko. Kwamba Mbeya, Kagera na Kilimanjaro ndio pekee waliosoma imekuwa hoja ya kale na ni kichaka cha kuhalalisha ukabila.

si kweli kuwa makabila mengine yoote hayajaenda shule kama wabaguzi wanavyotaka iaminike.
 
Ni kweli we hv to admit hawa jamaa walitutangulia na wapo wengi wenye shule in comparison with Makabila mengine na ndo tayari wapo kw system hivyo ni ngumu kufikia uwiano ulio sawa ukizingatia yako makabila zaidi ya 120 hapa nyumbani,so lets take it az a challenge tuwapeleke wanetu shule ili huko mbeleni na wanetu wasiishie kulalamika.. Thats my take

Hapo umenena Mkuu!
 
Lazima tupambane na ukabila kwa nguvu zetu zote maana sasa umeingia mpaka kwenye vyama vya siasa ni hatari kwani ukabila unazidi kujitanua
 
Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali

Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?

mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?

Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?

-JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY

Mie napita tu sipendi kuchangia lakini Mambo ya Ndani je? IGP-Polisi, CGP-Magereza, NIDA,Zimamoto,Idara ya Malalamiko(Chagas)
 
Acheni wivu nafasi ziko wazi hamuombi, mnataka mfungiwe kazi viunoni? kule UN napo ukabila upo?:bowl:
 
kila alipopita muarabu na kale kadini kake ameleta balaa,wamisionary walielimisha watu wa maeneo husika.fanyeni utafiti ,anzia na idara ya afya utagundua madaktari wengi wanatoka wapi,halafu jiulize,na wao walipewa udoc wa kutibu binadamu kwa ukabila?ndg zangu ,acheni kulialia,somesheni watoto wenu,uzeni ng·ombe,ardhi na vingine,msomeshe
 
umekera unapoanza kuleta dharau kwa dini zingine, mwehu ww
 
Back
Top Bottom