Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Well said
 
Ikulu kitengo gani mkuu?
 
embu someni acheni ujinga wa kusema ukabila kama huna elimu usitegemee kupata fursa...hao uliowataja niwasomi so tegemea wapate nafasi...nadfasi hazitolwe kwa kuangalia ukabilazinatolewa kuangalia elimu uzoefu nafasi.......embu kazanieni elimu sio lawama hizozakijinga
 
Hapa naona mtu kakosa kazi ama topix wengine wanasoma unacheza bao ....na zumna haha
 
Wengine tumeelewa ila tunajitoa ufahamu kwa kubisha bila hoja!
 
Na hii ndio maana ya Jamiiforums...heko Mzee mwanakijiji...kwa mara ya kwanza.
 
Waliotangulia kusoma sana Nchi Hii ni Wahaya,Wachagga na Wanyakyusa wakati wanasoma wengi wetu katika makabila yao walikuwa wakizuiliwa kwenda shule wakibakia kuchunga Ng'ombe na kudumisha mila kwa ujumla wake.SASA WAKULAUMIWA HAPO NI NANI??
 
hapo TRA kuna mambo ya kubebana hasa kwa akina ndugu zangu moshi mreema, kweka, nkyaa , yaan kama baba mkubwa katangulia ujue ukoo mzima utaishia huko
 
Baada ya miaka 3 ukabila utabadilika kuwa ukanda!!!! lake zone imeshika hatamu sasa!! Magu anakuja na Tim yake toka Kanda ya ziwa
 
Daah nyerere .. baba wa taifa hapa nmemwelewa sana
 
Du! mada hii nilikuwa hata sijawa member humu aiseeeeeeeeee. Nani kaifukunyua kwenye madrooo!
 
Dah Nyerere alikuwa na kipawa cha kipekee kabisa. Halafu kuna mabwege wanataka kujilinganisha na huyu mtu.
 
9 years old comment and still make sense to-date... A comment of the decade in tribalism
 

Brilliant !!! You nailed it !!!!
 
Huyu Nyerere jamani dah! alisema ukweli hadhi anakera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…