Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ndg yangu na wamasai wasemeje wamechoka kulinda?
Kumbuka tulipata waziri mkuu mmasai....
cha maana kisomo ndio mkombozi.
Bila kisomo kaz za oficn coishu ila ishu ni kaz gan utafanya(responsibilities)
kuna wanapata kaz za ofcn lkn kaz yake ni kufungulia mlango wageni tu..Hapo niaje?
Nenda B.O.T wamakonde wapo...kisomo ndugu,kisomo..Sema ni vizuri unavyo wapigania ilia waelimishe wapunguze ngoma na mimba za utotoni.

Cha msingi tukubali kwamba katika kila jamii matabaka yapo hata kwa hao wahaya,wachaga n.k..
Pili kila jamii ina character zake...mfanoa pitia Majeshi yetu utaona watu wa asili flani ni wengi zaidi,Mabenki,Vyama vya michezo, Hata watawala wetu wa local gvnts,VEO's,WEO's n.k Madaktari na wengineo..hata wenye magengeni kule sokoni.
Hii haimaanishi ukabila but ukiweka ukabila wewe ndo utakua mkabila namba 1,kwasababu hiyo hali haikuwapo kabisa bali ninyi wachache mlio na lack of comfidence mnarise hoja hiy

Tafiti imefanyika kuwa watanzania 75% wanaoishi England nia kutoka TZ-zanzibar...sio hivyo tu 62% ya watanzania wanaoishi USA ni wa jamii za kihaya na wachaga.
JE MAAFISA WA BALOZI ZA US NA UK NI TRIBALIST?

Mtized one,

Kwani kukaa USA ndio unakuwa msomi, kwa sababu hoja ni usomi? Kuna scholarships huwa zinakuja kupitia serikalini au mashirika/taasisis fulani, sasa ikiwa ndugu yangu atanipendekeza/atanipa mimi nipewe hiyo nafasi, na yeye anahusika na mchakato wa kuchuja wanaotakiwa wapewe hiyo scholarship nitashindwa kuipata? Swali lingine, unajua ni watoto wangapi wa wakubwa wanaosoma nje ya nchi, na wanatumia aidha fedha za serikali au za wahisani lakini hawana sifa kupata hizo hela badala yake hizo scholarships walitakiwa wapewe watu wengine wenye sifa zaidi kuliko zao? Nilishawahi kushudia UDSM, kuna Lecturer fulani alipewa scholarships za watu 20 wakasome Sweeden, badala yake alitafuta watu wachache, kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na wengine, wale watu walikuwa aidha ni ndugu au watu wa karibu yake, akawaambia wazungu sijaweza kupata watu wenye sifa, nimepata hawa tu wachache wakati kulikuwa na lundo la watu wenye sifa na walikuwa na nia ya kusoma! Kazi ya ubalozi ni kutoa visa baada ya kuwa wameambiwa huyo mtu wanayempa visa anaenda huko kwa ajili ya jambo fulani, usiwahusishe na ukabila, upendeleo, wala ubaguzi, kwanza hata makabila ya Tz hawayajui, ukabila unaweza kufanyika kabla mtu hajaenda kuomba visa au kabla hajafika USA!

Uko sawa MM unajua hata wakoloni waliwekeza hasa shule na vinginevyo maeneo hayo ie mbeya,klm na kagera kwa sababu ya resources za maeneo hayo hali kadhalika hali ya hewa pia
Kinyume chake maeneo mengine yakawa inhabited na waarabu ie Lindi,Mtwara.Pwani etc ambao kwao Elimu ni sawa na mmasai na chupi
Naona kama wako wengi maeneo fulani hayo makabila ni kwa kuwa yanadeserve ingawa kuna case chache za apa na pale

Uliona wapi mwanao ana njaa ya kufa mtu,umepata chips dume moja kuna mtoto jirani,je utampa wako au wa jirani?

asante kwa nukuu hizo hata asiyelewa akisoma nukuu za mwalimu zinajitosheleza. Tukisema enzi za mwalimu haaaaaaaaaa haziishi.

Maskini mwanakijiji!

Maskini mwanakijiji!! Kumbe kweli moto huzaa majivu.Moto wako wa kuchambua issues umekwenda wapi?Mbona sasa umepotea kinachotoka ni majivu tupu tena hata joto hamna. Maskini, kumbe kisu kimegusa mfupa!We should be objective in order to tacle this evil malaise.Mimi siangalii kabila langu ninapokumbana na issue hii ya ukabila.Ukabila upo. Hata Mwalimu katika siku za mwisho za uhai wake alilizungumza alipokaribishwa na mama MONGELA alipokuwa Washington.Sidhani wewe unaelewa kuhusu maswala na hali za ukabila kuliko mwasisi wa Taifa hili.Ili tushinde vita tutambue ukabila upo.Tusiwe kama kisa cha mbuni. Tusiwe wadau wa ukabila.Mahali ambapo hata lugha inayozungumzwa toka reception mpaka ofisi ya CEO ni ya kabila fulani,wote hao wameingia humo kwa bahatitu?!.You are too naive or too alienated.

Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali

Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?

mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?

Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?

mpendwa nduguyangu salaamu nyingi ninakupa, ila kinacho nisikitisha ni kusema kwamba kuna ukabila na kutaja makabila zaidi ya mawili hii inaonyesha ukabila bado hujaujua, naona sasa watanzania sote tujikite katika kujikwamua na kujijenga kifikra zaidi ili tulijenge taifa letu. ningependa pia tuache marumbano yasio na faida kwetu na kwa yeyote ambae atayasikia au kuyaona.​

jambo la pili ni kuzitaja wizara na idara kama unataja mafungu ya nyanya sokoni ni ukosefu wa maadili mema na kuonyesha kwamba bado hujapevuka kifikra na huna uzarendo na taifa hili hata kidogo.jambo hili mimi nalipinga la udini na ukabila, nchini kwetu hakuna hakuna ukabila wala udini na kwauwezo wa mungu hautakuepo leo wala kesho na hata milele.
tatu -JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY,sasa basi nchi yetu tungependa kuiendeleza kimatendo zaidi nasio kwa malumbano yasio na tija wala malego yoyote ya kujijenga binafsi kimaendeleo kwa kujikita katima vikundi vya ujasilia mali kilimo biashara za ndani na nje na mambo mengine ya kujitambua tuko wapi na tunakwenda wapi kwa kutazama wenzetu wa mataifa yote wako wapi ili kujiridhisha hapo utaona hakuna umuhimu wa maneno maneno ila ni vitendo zaidi.

Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali

Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?

mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?

Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?

mpendwa nduguyangu salaamu nyingi ninakupa, ila kinacho nisikitisha ni kusema kwamba kuna ukabila na kutaja makabila zaidi ya mawili hii inaonyesha ukabila bado hujaujua, naona sasa watanzania sote tujikite katika kujikwamua na kujijenga kifikra zaidi ili tulijenge taifa letu. ningependa pia tuache marumbano yasio na faida kwetu na kwa yeyote ambae atayasikia au kuyaona.

jambo la pili ni kuzitaja wizara na idara kama unataja mafungu ya nyanya sokoni ni ukosefu wa maadili mema na kuonyesha kwamba bado hujapevuka kifikra na huna uzarendo na taifa hili hata kidogo.jambo hili mimi nalipinga la udini na ukabila, nchini kwetu hakuna hakuna ukabila wala udini na kwauwezo wa mungu hautakuepo leo wala kesho na hata milele.

tatu -JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY,sasa basi nchi yetu tungependa kuiendeleza kimatendo zaidi nasio kwa malumbano yasio na tija wala malego yoyote ya kujijenga binafsi kimaendeleo kwa kujikita katima vikundi vya ujasilia mali kilimo biashara za ndani na nje na mambo mengine ya kujitambua tuko wapi na tunakwenda wapi kwa kutazama wenzetu wa mataifa yote wako wapi ili kujiridhisha hapo utaona hakuna umuhimu wa maneno maneno ila ni vitendo zaidi.

Ana haki ya kufikiri tofauti na wewe. na anaweza kuwa anasema ukweli pia.

Nafikiri issue ya ukabila huwa inachanganywa sana watu wanapoizungumzia. Ukabila unatokea pale ambapo mtu asiye na sifa au mwenye sifa anapopatiwa nafasi, kazi kwa kupitia mlango wa nyuma, yaani upendeleo au bila kuwepo na open forum kwa watu wote kuiomba hiyo nafasi. Lakini kama mzee Kimei pale CRDB anatangaza nafasi za kazi na watu wengi wanaomba lakini anaona kuna mchagga ame-qualify zaidi ya waombaji wengine wote. sidhani kama katika hali hiyo CRDB itakuwa imemwajiri huyo jamaa kwa sababu ya kabila lake bali ni kwa sababu ya sifa zake. Ila kuna baadhi ya nafasi zimekuwa zinatolewa kwa watu kwa sababu za kishikaji.. ukabila au hata ubia wa biashara. Kwa namna yeyote ile katika hali hiyo mambo hayaendi sawa na inabidi yarekebishwe. Kama ukiende mlimani ukakuta darasa lina wanafuzi 20 na kati ya hao 12 ni wahaya, au ni wachagga ina maana hao jamaa watapata kazi kwa wingi huo huo na hapo hatuwezi kusema ni ukabila bali ni juhudi yao!!

Mi si kati ya hayo makabila yeneye akili Tanzania ila nawaambia hivi wale ambao mmeishiwa confidence kuwa hata mkipata nafasi ya kuwa viongozi watu wenu hamuwajali. Fanyeni uchunguzi hivi mkoa wako una shule ngapi za sekondari kijiji chenu kina wasomi wangapi kijiji chenu kina vipaumbele gani juu ya elimu. Leo hii wanafunzi wa kata yako wanasoma au wanaoana tu na kuvuta bangi. Msilalamike wakati elimu mpaka leo hii mnaipiga teke. Hamuwezi kushindana na hao watu ambao hata leo hii mkipewa pamoja shilingi milioni moja baada ya miaka mitano wewe utakuwa na wake watano na watoto ishirini na mwenzako atakuwa na nyumba tano na magari kibao. U deserve kunyanyapaliwa unless mubadilike. hatuwezi kuwa na jamii amabazo zimeparanganyika hazina misingi ya maendeleo na upendo zinabaki kulalamika kwenye key board. Anayebisha aniambie amesomesha ndugu zake wangapi mpaka anabonyeza kibodi amabo siku moja wataomba kazi huko TRA BOT nk na watapata kwa merit za Competence?

....Greedy kwao sio kubwa ukilinganisha na makabila mengine. Kitu kizuri kinachonivutia zaidi kwa hawa watu wa makabila manyonge, hata elimu zao wanazipata kwa uaminifu - namaanisha sio watu wa kuiba mitihani, kununua vyeti au kudanganya viwango vya elimu. ...Sasa haya kama yalikwepo na ni ya kweli, ni hatari ndio maana unaona jinsi watu wanavyoboronga kutoka ofisi ya juu kabisa serikalini mpaka chini.
Sasa niwachekeshe hapa ingawa ni jambo la kweli: Nimemaliza UDSM 2008, kuna kundi ambalo nilikuwa napenda kudiscuss nalo, halikuwa kundi la marafiki sana lakini lilikuwa kama kundi la marafiki wa kusoma pamoja. Kuna siku moja baada ya kumaliza kudiscuss somo fulani ambalo tulikuwa tunajindaa kwa ajili ya test, hao ndugu zangu wakasema sasa tuset format ya jinsi ya kukaa ili tudesane. Nikawaambia jamani kwa nini mnakuwa na mawazo kama haya? Tuna muda wa kujisomea kwa nini tusijiandae tukaenda kufanya test kihalali? Ili hali bado tuna muda? Kumbuka niliwashauri kwa upole kabisa na kwa upendo. Ndugu yangu mmojawapo akanijibu: wewe si unajifanya kichwa? Tuone sasa kama utamaliza bila kushikwa! Kushikwa/kukamtwa hapa ni aidha kufeli somo moja au zaidi, hali ikiwa mbaya unadisco! Nilimjibu kwa ujasiri kwamba, sitadesa, na nitamaliza hapa mlimani nikifaulu tu, na kabla hujamaliza chuo usipobadili hiyo tabia nitakushuhudia ukikamatwa wewe! Hakubadili tabia, aliendelea kudesa, alikamatwa akawa anaona aibu hata kuniangalia. Baadaye alinijia na kuniomba ushauri ni jinsi gani asome ili asishikwe. Kwanza kabisa nilimwambia marufuku kudesa kuanzia leo kama unataka kufaulu. Sasa tunaheshimiana sana.
Siamini kama uko justified kutoa conclusions zako kuhusu makabila haya kwa kutumia hiyo experience yako ndogo ya kuhisi (labda na kusikia) na ulipokuwa chuo. Kwanza si kwamba kama ulikuwa A student basi utaweza ku deliver kazini. Elimu yetu yatufunza "kukariri". Huwezi fanya kazi kwa kutumia elimu "uliyokariri", hivyo usitegemee A student wajae ikulu au TRA na kwingineko, maana kule hatukariri hesabu, jiografia n.k. ila tunafanya kazi. Kule hawaangalii kama ulipata A, hizo A nenda nazo chuo kafundishie watu kukariri. Robert Kiyosaki anazungumzia kuhusu kusaidiana katika masomo ambapo wewe wasema ni cheating, lakini ukienda kwenye ajira hutakuwa ukifanya kazi bila ushirikiano na wenzako. Ndio maana A student wengi huwa hawawezi kuwa na team work maana kwao ushirikiano ni cheating, na hii huwafanya dellivery zao kuwa poor. I was an A student, A ya point 7 na point 3, na GPA kubwa chuoni, ila naamini sana katika ushirikiano darasani.

Kaka upo sahihi kabisa! c ukabila na udin umejaa hapo! Me huwa nakasirika sana pale Kanisani tulipotakiwa kuleta vyeti kwa ajili ya ajira ktk sekta ya serikali! na kuna wa2 walikimbiilia kuforge vyeti na yule jamaa hakavichukua na sasa wanaajira! Tatizo ni kwamba wanatutia aibu ktk utendaji kazi wao! hili me linanichukiza sana wadau

samvulechole... hakuna hoja ambayo ni ngeni hapa.. madai ya makabila hayo kupendelewa hayakuanza leo! tangu mara tu baada ya uhuru kulikuwa na tuhuma hizo hizo.. so.. there is nothing there..! Hata hivyo hatari unayoweza kuleta siyo ukabila bali ubaguzi, kuwa kama mtu anatoka kwenye makabila hayo basi asipewe nafasi fulani kwa vile watu fulani wanadhani kuna ukabila! Nitakupa mfano, kuna wanasheria watatu wote ni maprofesa... kuna Prof. Mwakalindile (Sheria, uzoefu miaka 30), Prof. Mtimba (mmakua, uzoefu miaka 10, sheria), na Prof. Chanda (Mzigua, sheria uzoefu miaka 5). Assuming maeneo ya fani zao ni sawa, ceteris paribus Rais anataka kumteua mshauri wa kisheria.. nani apewe kwa haki? Wengi watasema prof. Mwakalindile! Sasa kwa kufanya hivyo hata hivyo kuna wanyakyusa wawili tayari hapo ikulu ambao wameshapata nafasi zao, je tumnyime Mwakalindile kwa vile itaonesha ukabila?

Kabla hatujafikia hapo pa kudai ukabila tujiulize: "Kwanini inaonekana kuna wasomi wengi wa makabila hayo matatu Wachaga, Wahaya, na Wanyakyusa"? Je, tupunguze wanafunzi wanaotoka kwenye makabila hayo na kuwapa nafasi watu wa makabila mengine ili kuleta uwiano (parity)? Je tukiamua kufanya hivyo hatutakuwa tunaanza ubaguzi wa kikabila?

Tarehe 9 Disemba 1968 Nyerere alitumia siku ya Jamhuri kuzungumzia "Vitu ambavyo ni lazima Tuvisahihishe", vitu ambavyo baada ya uhuru havikwenda vilivyotarajiwa. Alizungumzia ukabila; kwanza alisema hivi:

"the man who talks about tribalism being practised without having any evidence for his statement is often a man who wants to stir up tribalism. Even if that is not his purpose, the result can be just the same. People will begin to think that there is tribalism, and, once people begin to think in these terms, then tribalism has begun to enter tinto our society"

Kuhusu Wahaya, Wanyakyusa, na Wachaga kupata nafasi nyingi katika serikali, Mwalimu alisema hivi miaka karibu 30 iliyopita:

"..the work of the civil servants and people in the parastatal organizations does require education..it so happened that the Tanzanians who had the opportunity for higher education under the colonialists were mostly Wahaya, Wachagga, and Wanyakyusa. And because most of the education was provided by missionaries, most of these people are also Christians. That was our inheritance. These conditions will change, but they have not changed yet. And for these reasons, when we get rid of the Europeans who were doing responsible jobs, and give these jobs to Tanzanians, the people who get them come mostly from one or other of these three tribes".

Akaongeza pia,

"Therefore, if you ask me why Wahaya, Wachagga, and Wanyakyusa have most of the jobs which require higher education, the answer is very obvious. They were the ones who received higher education during colonial times. I'd say: investigate the position in politics where a man is not asked about his educational qualifications. Look at the Parliament, the National Executive and Central Committee of TANU, and at the Cabinet. How many Wanyakyusa, Wahaya, or Wachagga are members? You will find that perhaps there aren't any, or there are one or two. This is the truth"

kwa umahiri wake wa maneno JKN akatoboa ukweli huu

"Anyone who refuses to accept a very obvious truth like this, and says that the reason is tribalism, must provide us with the evidence for his statement. If he cannot provide any evidence, we must conclude either that he is a fool, or that he is strirring up tribalism deliberately. He is the sort of (a) person who begs work on a tribal basis, and when he is refused because he does not have the capabilities, he pretends he was refused on tribal grounds."

Akasema pia ni jukumu la serikali kusaidia sehemu ambazo bado ziko nyuma kielimu. Na alimaliza kwa kusema:

".. if a Mchagga, a Mhaya, or a Mnyakyusayoung man were refused work simply because of his tribe - when he is capable and there is no other Tanzanian with the qualifications - then we would be practising a very stupid and very evil kind of tribalism such as that which caused the establishment of Biafra. I beg you, my brothers, avoid ANYTHING WHICH COULD BRING OUR COUNTRY INTO THIS KIND OF DISGRACE" (emphasis mine)
(From: Uhuru na Maendeleo pp 76,77)

so what say you?

Bigup.............................

Jamani tusome,hakuna njia za mkato kwenye ajira za kisasa. Mi nipo kabila dogo tu lakini namshukuru Mungu kwamba kichwa changu na vyeti vyangu ndio huwa vinanisaidia kupata ajira sehemu ninazotaka. Sijawahi kuulizwa kabila kwenye interview,huwa sijuani na mkubwa yeyote na kazi huwa napata. Makabila hayo matatu mliyoyataja kweli yapo serious kufuatilia elimu za watoto wao,niliwahi kufanya kazi Mbeya,nilikuwa mpangaji wa mzee mmoja anaitwa Kibona,kuna wakati alikosa ada ya mtoto wake aliekuwa chuo. Aliuza sehemu ya shamba lake ili mtoto akalipe ada!. Kuna makabila kwenye hali hiyo huwa wanamwambia mtoto rudi nyumbani fungua biashara kisha oa mke muanze maisha! Tusiwe waongeaji sana wa tanzania. Jitahdi u meet qualification for the job,the rest will be taken care.

Tukatae tusikatae ukabila upo sana na sidhani kama unaweza kuisha kilahisi kwa sababu unafanyika katika sekta kibao

Back
Top Bottom