Ukabila Kenya: Mgawanyo wa Wizara za Kenya kulingana na Makabila

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Kikuyu everywhere
mwaswast MK254 Geza Ulole

IMG_20200623_201519.jpg
 
Huu wimbo ukiusikia ndio utajua Tanzania ni nchi amazing sana

Huu wimbo unachochea chuki machafuko mauaji ya kikabila na huko Kenya umekua on trending

Lakini ukiusikuliza vizuri utaona namna Kenya ilivyo ya hovyo kwenye uongozi ni Taifa corrupted number 1 duniani na viongozi wasiojali wananchi wake, Kiufupi wakenya wamechoka
 
Noma sanaa, nmeusikiliza wote na kusoma subtitles.
Ni lugha gani anatumia hapo
 
Huu wimbo ukiusikia ndio utajua Tanzania ni nchi amazing sana

Huu wimbo unachochea chuki machafuko mauaji ya kikabila na huko Kenya umekua on trending

Lakini ukiusikuliza vizuri utaona namna Kenya ilivyo ya hovyo kwenye uongozi ni Taifa corrupted number 1 duniani na viongozi wasiojali wananchi wake, Kiufupi Wakenya wamechoka.
Huu wimbo unaimbwa kwa lugha ya kikuyu na tafsiri yake hapo chini ni kiingereza lakini naona huelewi yeyoye Kati ya hizo mbili.
Wakenya wamechoka ni kweli na wanaifanya wazi wazi kwa nyimbo na hata kwenye social media.

Huyu hatapotezwa Kama Ben Saanane.
 
Back
Top Bottom