Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Wakenya kuweni watulivu mtapata raisi kwa namna yeyote ile
 
Mh.Ukistaajab ya Musa utayaona ya wakenya. Yaani na matatizo ya 2007-8 bado wanataka kuleta mchezo mbaya!
 
Africa in action! What a shame!
Is this domocracy or democracy?
 


Naweza kubaliana na wewe maana yule muwindaji wa Tembo wetu yuko huko Bwana Abrahaman Kinana kusimammia uchakachuwaji.
 
Results as of now due to recounting.

Odinga: 69.7% (108,805)

uhuru: 27.5% (42,966)
 
Ikigundulika kwamba ni kweli Kenyatta anahusika inabidi waKenya wadeal nae personally hata kabla ya kwenda the Hague.., Adhabu yoyote ya huko will be not harsh enough.., this is thuggery and mafiosi combined.., playing with people lives and causing chaos
 
Kumbe Kibaki akuja Kuaga alikuja na Agenda ya Kushinda uchaguzi.
 
kama kawa kama dawa. Odinga lazima awe rais. marafiki washajumlisha kura na kukuta kashinda kwa asilimia 62.

Mkuu na mapema sana tunaanzisha Friends of Dr.Slaa(FOS), ni mwendo wa kujumlisha kura fasta kabla ya mitambo ya Gambaz kuchakachua
I dedicate u ''Patience'' by Nas & D.Marley
 
Uwezo Tunao,
Kwenye hili napingana nawe. Hata kama awali kulikuwa na mapenzi na muelekeo wa dola za EA kumsaidia Uhuru, hapa mwishoni au mwanzoni mwa mchakato wa kupiga kura nasikia dola hizi zimeonywa na "wakubwa" juu ya madhara ya Raila kushindwa katika uchaguzi huu! Hata ukifuatilia utagundua "vijana" wa serikali za EA walioko Kenya jukumu lao limekuwa kuhakikisha Uhuru hapenyi. Lakiki kazi yao imekuwa ngumu sana maana katika kampeni za lala salama Uhuru aliwatahadharisha fans wake kuwa makini na wageni hasa wanapokaribia vituo vya kuhesabia kura. Hadi sasa, kati ya "vijana" hawa hakuna aliyeweza kutoa mguu nje ya viunga vya Nairobi na hivyo kazi kushindikana kwa kiwango kikubwa. Wamebaki kuwa ma-porter wa vijana wa Camerron na Obama!
 
Na hio mitambo sasa iliyotumia pesa nyingi na kazi haijafanya ?, its about time badala ya kununua mitambo labda tukodishe watu na mitambo kwa hisani ya wamerekani, nilishawaza kutoa wazo na sisi 2015 tukodi mitambo ya wakenya., sasa nadhani it might not be a good idea after all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…