Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!


kwa kukujulisha tu mmoja wa wahusika n mtanzania
 
Mimi iliyonishtua mapema ni hii hapa kutoka gazeti la daily nation;

Raila Odinga
Twitter followers: 117,118
Facebook likes: 1,716

Uhuru Kenyatta
Twitter followers: 109,375
Facebook likes: 436,696
 
Sio sababu hiyo
wakenya waacheni wansiasa wanatafuta sababu please wasiwaingize kwenye vita ya wenyewe
 
Kazi imeanza, nadhani mbinu chafu kama hizi zinachafua jitihada za kushindana kwa haki na kupata mshindi wa halali bila mizengwe.Tunawaombea ndugu zetu hawa wawe nasubira katika kumpata kiongozi wa halali.
 
inaleta aina ya kizunguzungu lakini lisemwalo lipo by any means kama halipo linatujia 2015 hapa tz
 
wameanza kuesabu kura kwa mkono.mambo yameanza kubadilika ghafla
 
Big up kwa meneja wa google east africa! The guy is very smart n patriotic!
 
hii ni kazi ya kinana!..nakumbuka ofisi yao maalumu ya IT iliyokuwa undali str. wanajukwaa mnamkumbuka miraji kikwete na rafiki zake toka india!..AIBU
 
 
No wonder. Kura za Uhuru zilijump ghafla halafu alama za Uhuru zilikuwa zinapanda bila kushuka.
 
Mi naona hata hapa kwetu Tz tujifunze na tusikubali mfumo huo wa kujumlisha kura 2015, bali twende kwa hardcopy!
Afadhali tumeyaona Kenya kabla ya 2015.

Mnaonaje wadau?
 
Chadema at work!

Wamempelekea Odinga msaada lakini ndio hivyo tena lakuvunda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…