Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.
fatilia matokeoa ya sasa na ya kinana ya juzi na jana uone tofauti..
Mkuu Pdidy na anaitwa R. A.
Kiukweli hata mimi nilishangazwa sana na tofauti ya kura iliyokuwepo kwa muda mrefu. Kila matokeo yalipokuwa yanatoka kulikuwa na constant difference ya laki tano na themanini na kitu au tisini hivi.
mbona unaogopa kuliandika jina hebu nitumie kwenye sm niliandike vizuri au kati ya walionunua mtambo wa kuingilia mawasiliano ya viongozi wa chadema..
Nasikitika sana m2 mwenye tuhuma kuingia ikulu hata kama masingiziwa. (Kumbuka ikulu ni mahali patakatifu). Ucheleweshaji wa kura ni hatari sana mahali popote. Ndio maana wenzetu hawachelewi kupongezana mara anapoona mwenzake kashinda maana anona uhalali
mkuu citizen nao wanaonesha Uhuru anaongoza!usifuatilie matanagzo ya kwenye tv zao ni uongo huo IEBC wameanza upya majibu yote mtayapata ijumaa asubuhi. asante
source pliz....Mpaka sasa Odinga anaongoza
Results as of now due to recounting.
Odinga: 69.7% (108,805)
uhuru: 27.5% (42,966)