Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.


I have serious reservations about your position about Uhuru; the guy is 51yrs old!!

Julius nyerere became premiere of Tanganyika at toddler age of 39; JF Kennedy became US president at 43yrs and more recently Obama was 47 in 2008 when he became president; the late Hogo Chaves was 44yrs old when he became president of Venezuela; the late Ghadafi took the mantle in Libya at 29yrs, captain Thomas Sankara was 33yrs when he became head !!!

Is it really the age or vision and mission for the country when one aspires to becaome president of his or her country!!
 
Mshandi kwa vyovyote atapatikana...tunachoombea ni kuwa Kenya ibaki kuwa moja na siyo na machafuko ya 'damu'. Na miongoni mwa mambo tuliyojifunza kutokana na uchaguzi huo ni kuwa kumbe kutumia Hi-tech si suluhisho la wizi wa kura ona jamaa wamelazimika kurudia enzi za ujima kwa kuhesabu kwa mikono...lakini kizuri ni kuwa Vyombo vya habari vinapokuwa na ajenda ya pamoja ya kuhamasisha amani inawezekana kuliweka taifa libaki kuwa moja! ..Lakini wadaku wetu wa bongo tunaweza kuwapiga ribit wasizushe ya kuzusha katika kipindi cha uchaguzi?....Just thinking aloud!
 
Ni kweli watu wengi wanaona ukabila ni wakikuyu tu hawana ukabila wa wajaluo.
 
Mkuu,
hapo kwenye RED hizo ndo mbinu zao za kuwawezesha kuendesha nchi zao.Tatizo Kenya imewekeza sana kiuchumi katika nchi za west.Kuanza tena China wanaweza kufanya mark time.
 
 
Jamani tumefika lini huku? hili dudu tulichekealo likituuma tusilalamike, tuangalie credibility mambo ya ukanda, ukabila, udini n' so forth tuachane nayo hayana maana we will be the looser.
o

Ni kweli piper umesema jambo jema. Ni jambo baya la kuhuzunisha na wala halitakiwi kuchekewa wala kucheza cheza nalo. Lakini nimemention kama anagalizo tu kwa yanayotokea TZ na duniani pale wanapokubali kuwapa watu uongozi wa kitaifa kwa misingi iliyo nje na uwezo kama jk. Matokeo yake ni kuongoza kwa kufuata itikadi zake ambazo tayari ni potofu na mitazamo isiyojali uma wa wananchi na kwa kuwa mtu yuko short minded anadhani yeye ni kiongozi wa watu wa makundi yake tu kama vyama, dini, ukabila n.k na kusahau kwamba anatakiwa kuangalia masuala kwa mtazamo wa serikali ya nchi ambayo inajumuisha kila aina ya binadamu walio ndani na nje ya mipaka ya ki jiogoraphia.

Tunaomfano wa wazi kwa jk alipoifikisha nchi hii kiasi kwamba anasababisha gharama kubwa za maisha ya watu wengine katika kushughulikia mioto aliyoiwasha yeye mwenyewe aidha kwa mwakusudi ama kutokujua kulingana na uwezo wake mdogo.

Kwa ufupi Piper tuko wote. Kinachotakiwa ni kutorudia makosa ya kuchagua watu wa aina ya jk ili turekebishe nchi yetu ingawa najua kuirudisha katika hali y a kawaida ipo kazi.

RIP ccm.
 
Kwa weledi sio vizuri ku attack personality za watu ni bora tukajikita kwenye mjadala.Is too low for you to behave this way!


MODS, please do not accommodate personality attacks here. This should be an educative, informative, rehabilitative and entertaining forum. Do not allow it to be a firm of wild creatures who posses no clearly defined norms to conform.

Personality attacks should not be directly admitted unless are brought by inevitable roots.

TAFADHARI TUANZENI KUFANYA HOJA KWANZA NA SI MATUSI MAKAVU MAKAVU. TUTAHARIBRU FAMILIA YETU NZURI IITWAYO JF.
 
Alafu huwa nawaza yaani kama kweli UHURU ni culprit wa yale mauaji iweje alambe kura zote izo
Something ficious apa au ndo huo ukabila?



Wakenya ndo wanajua zaidi yaliyowasibu 2007, usishangae kinachoendelea labda aliyenyimwa kura ndo Culprit Original.
 

Kama hawana nguvu kwa nini unawaruhusu wakuamulie? chuki hiyo ni ya nini wamekufanya nini wewe? Usianze kutukana mvua eti ndiyo maana hukuvuna wakati hukulima!
 
Go brother. Kenya is behind you. Acha Odinga aendeleze kelele za ukabila, sisi tunajua umechaguliwa kidemokrasia na kwa mujibu wa katiba chini ya tume huru. Odinga hana jipya bali ni tamaa tu. harambee nyayo kenyatta mbele
 

Age isnt a number...it is wisdom and experience.
In comparison to Odinga, Uhuru is a toddler when it comes to being in the driving seat.
I can barely imagine him being there...
 
Mbona husemi Raila kura nyingi amepata wapi[coast ameshinda lakini hata huko ana ndugu wengi tu]
Kinachomfanya kenyatta na ruto wapendwe ni jinsi vijana wanavyowaona [he relates to them] maoni yangu ni kuwa kweli wakikuyu karibu wote wamempigia yeye [kama vile ilivyo kwa odinaga] lakini kama ulivyoonyesha kuwa kyuks' ni asilimia 30-40 tu jee hizo nyingine amepata wapi????
Ukweli unauma lakini tukubali tu kuwa kenyatta is more apealing to the young than mzee raila ambaye yuko obsessed na uraisi na kinachompa jeuri ni support ya west lakini wapiga kura ni wakenya bwana
 
Ukabila umezidi competence..
I still am sure that Uhuru is too young for that office.
I stand to be corrected.

Siamini sana katika hilo (red hapo juu)
Labda tujiulize hapa nchini kwetu Tanzania;kwani J.K. Nyerere alikuwa na umri gani alipopata ridhaa ya kuongoza nchi yetu. Mimi nafikiri kuwa jambo kubwa ni determination ya mtu akishirikiana na system nzima ya uongozi wa juu.
 
Hakuna mshindi, uchaguzi unarudiwa. Kumbuka Uhuru amepata 49.5% na Raila amepata 44.5%. Hakuna aliyepata 50%+1vote kama katiba inavyosema. Ngoma bado.


Wamemaliza kuhesabu Kura?
hakuna dhambi kubwa hapa JF kama dhambi ya kukurupuka.
 
hivi wanao mshutumu uhuru kuhusu aridhi je babayake Odinga sikati ya watu walio jichukulia maeneo na utajiri wakati huo??
 
hatukumwamini. alishinda ki-magumashi km huyo kenyata wako
 
hahahahah kwa hiyo unataka kuniambia mh pm hana huo ubavu
 
Wataanzia wapi?Raila hana ubavu wa kuingiza watu kitaa.Ile ya mwaka 2008 ni Ruto ndie alibariki shughuli nzima.
kwa hiyo unataka kuniambia mheshimiwa pm hana nguvu ya kwenda barabarani sio
 
Baadae nitakutafuta unipe overall results zako, usikimbie

Mkuu mbona umesepa jumla wala hutaki tena kuchungulia chungulia humu? Uliahidi utanitafuta!!!

Tunaendelea kumkandamiza uncle wako ile mbaya. Sasa hivi kapigwa gap la kama kura laki 7 hivi sijui atazikomboaje hizo?

UHURU ATOSHA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…