Siri ya Ushindi kwa Mheshimiwa Uhuru ya bainika ya kuwa aliweka Mungu mbele kabla ya kwenda kwenye kampeni yeye na mshirika wake William Ruto walihakikisha wameenda kanisani kuomba Mungu.
Jambo muhimu kwa wanasiasa wetu ni kuacha kutegemea nguvu za wanadamu katika kutawala bali wamtegemee Mungu na wawe waombaji
Mheshimwa William Ruto akisifu Mungu
Mke naye hakuachwa nyuma katika kusifu Mungu
Wkati wa unyenyekevu
Kwaya ikihudumu moja ya mikutano ya kampeni hakuna cha mziki wakizazi kipya hapa wala tiot
Wakipokea baraka za mwisho wa ibada