Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Naona kila mtu analikwenda kuombewa, kila lugha ilitumika. Ikulu inahitaji mbinu


[video=youtube_share;G0WfPq8okno]http://youtu.be/G0WfPq8okno[/video]
[video=youtube_share;yqlfYFcWrgg]http://youtu.be/yqlfYFcWrgg[/video]
[video=youtube_share;gVUs5b0QtfE]http://youtu.be/gVUs5b0QtfE[/video]http://youtu.be/xhZIcm9qcQ4

Uhuru Kenyatta Exclusive Interview - Part 1 - YouTube
 
208573_589696591058882_595716402_n.jpg


Siri ya Ushindi kwa Mheshimiwa Uhuru ya bainika ya kuwa aliweka Mungu mbele kabla ya kwenda kwenye kampeni yeye na mshirika wake William Ruto walihakikisha wameenda kanisani kuomba Mungu.

Jambo muhimu kwa wanasiasa wetu ni kuacha kutegemea nguvu za wanadamu katika kutawala bali wamtegemee Mungu na wawe waombaji

602966_589696447725563_452240570_n.jpg
482563_589696751058866_1666424103_n.jpg

Mheshimwa William Ruto akisifu Mungu
625451_589696897725518_1456191079_n.jpg

Mke naye hakuachwa nyuma katika kusifu Mungu
602059_589697037725504_1454750269_n.jpg

Wkati wa unyenyekevu
557950_589698727725335_684060354_n.jpg

Kwaya ikihudumu moja ya mikutano ya kampeni hakuna cha mziki wakizazi kipya hapa wala tiot
479848_589699124391962_882370461_n.jpg


Wakipokea baraka za mwisho wa ibada
 
Kwani Odinga nae hakwenda kanisani?
208573_589696591058882_595716402_n.jpg


Siri ya Ushindi kwa Mheshimiwa Uhuru ya bainika ya kuwa aliweka Mungu mbele kabla ya kwenda kwenye kampeni yeye na mshirika wake William Ruto walihakikisha wameenda kanisani kuomba Mungu.

Jambo muhimu kwa wanasiasa wetu ni kuacha kutegemea nguvu za wanadamu katika kutawala bali wamtegemee Mungu na wawe waombaji

602966_589696447725563_452240570_n.jpg
482563_589696751058866_1666424103_n.jpg

Mheshimwa William Ruto akisifu Mungu
625451_589696897725518_1456191079_n.jpg

Mke naye hakuachwa nyuma katika kusifu Mungu
602059_589697037725504_1454750269_n.jpg

Wkati wa unyenyekevu
557950_589698727725335_684060354_n.jpg

Kwaya ikihudumu moja ya mikutano ya kampeni hakuna cha mziki wakizazi kipya hapa wala tiot
479848_589699124391962_882370461_n.jpg


Wakipokea baraka za mwisho wa ibada
 
Wahaya wanasema "Mungu njuna naiwe otao agawe" maana yake Mola nisaidie huku na wewe unaongeza juhudi binafsi,ukisali kisha ukabweteka hizo sala ni bure.
 
Bangoo

Yawezekana alienda lakini Mungu hujibu maombi ya mtu kutokana na muda na nguvu aliyowekeza kwa Mungu na sawasawa na mapenzi yake aliye juu ya mfalme zote
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo walipoteza pesa bure kwenye kampeni,kumbe angeweza kwenda zake kanisani na mambo yangekua safi.
 
Hivi hapa TZ ukipiga kwaya kila kabla ya kampeni ndugu zangu wachinjaji watakupa kura?

Astaghaflulai!!!!!!
 
Tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano
 
Binafsi nakerwa sana nadhani hata nyie wenzangu ambao mnamwamini Mungu kama mimi ninavyomwamini, pale viongozi wetu waliowengi wanaingia na kukaa madarakani kwa kutumina nguvu za giza, ni aibu kweli. Mungu wetu naomba atuepushe na hali hiyo kwenye kampeni na uchaguzi wa 2015.
 
Wewe mleta uzi umeongea na Mungu kakuthibithishia kwamba hawa jamaa walimweka mbele Yeye,kwa maana Mungu hupokea ibada ya mtu kutoka moyoni Hebr.4:12,na Mungu siku zote anahukumu nia.Watu,kwamba walikwenda ama wanakwenda kanisani haimaanishi wamemtanguliza Mungu mbele,this is so tricky.Watu hupenda kutumia makanisa kama coverup ya ulterior motives zao.Acheni haya mambo atuhukumie Mwenyewe with time itafahamika tu.
 
Nonesense,wapelekee adolescents hii hoja mbovu kabisa.. hata kama ningeliishia STD V bado ningelipinga huu ujinga.
 
Back
Top Bottom