Mkuu kuna umuhimu wa kuanzisha forum ya Friends Of Dr. Slaa (FODS) haraka iwezekanavyo.
Ni kweli kabisa mkuu. CCM wengi wao hawawezi kutufikia CDM kwa akili mimi naamini kabisa na hilo naweza kulishuhudia. Cha kufanya hapa ni better tukatumia akili zetu kudefine any possible way CCM wanaweza tumia kujihalarishia ushindi as they did in 2010. Waachwe akina Lema, Sugu n.k wateme chehe majukwaani na sisi ambao Mungu katupauwezo wakutema cheche kwenye makaratasi tutumie design mbalimbali kwa kudefine what type of uhuni wazee wa kusafirisha tembo they can use kupora haki ya wa Tz. CCM wako tayari kwa garama yeyote(Coting Mtangazaji wa Lumumba propaganda FM) kutoiachia inchi hii kwa maana wanajua most they are going to finish. So it need as to be abinded on that and get ready for everything.
Kinachotokea kenya ni funzo tosha kwetu na it prove IT in Africa ni kwa kuiharibu Africa
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CDM na Mungu ibariki Kenya