Mimi sina imani na malinzi.Ukabila ni mbaya sana kama ilivyo udini PPFRais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
.Ungemalizia na CRDB, VETA, NFRA na kwegineko ningejua kama kweli unachukizwa na ukabila na udini lakini unaonekana ww mwenyewe ni mkabila na ndiniMimi sina imani na malinzi.Ukabila ni mbaya sana kama ilivyo udini PPF
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
.Ungemalizia na CRDB, VETA, NFRA na kwegineko ningejua kama kweli unachukizwa na ukabila na udini lakini unaonekana ww mwenyewe ni mkabila na ndini
Kama ni kweli hili sio la kunyamaziwa,haiwezekani shirikisho kujaa watu wa kabila moja halafu tujidai eti kuhoji sio busara!!!!Wewe kama si mkabila ulijuwa je acha huwo ujinga kikubwa kazi nyie ndio wale wale hata kwenye siasa ukabila nyambafu tunaongea ukabila karne hii kimya shiiiiiiih
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasaRais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
acha ukabila wewe. siku hizi tunaangalia utanzania siyo udini na ukabila.
ukimaliza ukabila utaanza na udini