Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Tangu ameshinda hataki kuja huku,aliahidi atakuja kuomba mapendekezo/ushauri kuhusu kuinua soka hadi leo kimya
------- tu lile...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu ameshinda hataki kuja huku,aliahidi atakuja kuomba mapendekezo/ushauri kuhusu kuinua soka hadi leo kimya
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
INawezekana wana sifa.....Sema haiingii akilini....kwani hawana sifa??..
Sory kama nimekukwaza ama kukugusa kwa namna yoyote mkuu....Wewe tatzo lako ni wahaya au unataka kuona soka la Tz likiwa juu. sasa km hao wahaya wanaweza kulipaisha soka le2 siwaache tu! We na Eddo nyote ni mapu.........!
Tangu ameshinda hataki kuja huku,aliahidi atakuja kuomba mapendekezo/ushauri kuhusu kuinua soka hadi leo kimya
Wewe tatzo lako ni wahaya au unataka kuona soka la Tz likiwa juu. sasa km hao wahaya wanaweza kulipaisha soka le2 siwaache tu! We na Eddo nyote ni mapu.........!