Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

tatizo ni nini kama wana sifa?

Aliofficeyekuambia kwamba watanzania wengine hawana sifa ni nani. Ukataka kutuaminisha kwamba wahay tu ndio wana sifa za kuwa viongozi na sio watanzania wengine. Chukulia nafasi ya katibu mkuu, mwesiga ana degree ya moja tena ya international relation anaachwa mtu kama tandau ambaye ana masters ya michezo na sifa kibao za uongozi wa michezo.
Watu wakabila kama malinzi hawatakiwi kuhold public office
 
Jamani ni vema nyie mkawa waangalifu na post zenu za kijinga hivi huo ukabila umetoka wapi ,
Adv Lutema lini akawa Mhaya. Shame on you.
 
Usituletee utoto hapa. Hv unapata wap muda wa kuuliza makabila ya watu badala ya ksueulizia sifa km zinakidhi???
 
Huenda waliomchagua nao ni WAHAYA!!!?
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
 
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya

kulalama kwa kujaza vyeo tu haikusaidii, hizo ni fitina na majungu HADI hapo utakapoleta majina yao ndipo nitakubali.

Mwaga majina yao hapa.
 
Jamal Malinzi ni verified humu, naamini atajitokeza
 
TFF Secretariat is the organ which implements the decisions passed by Executive Committee. It is headed by General Secretary. The General Secretary and Heads of Departments are employed by the Executive Committee.The General Secretary is assisted by five Heads of Departments of Technical, Administration and Membership, Finance,Competitions,Marketing and Events, and the Information Officer who is charged with handling all matters regarding to Mass media and event management. He/she is also a chief adviser on all matters pertaining to Public Relations.
· General Secretary- Selestin Mwesigwa

· Director of Finance - Danny Msangi (Acting)

· Director of Administration & Membership -
· Technical Director – Salum Madadi (Acting)
· Marketng and Event management Director-James Kabwe
· Competitions Director - Idd Mshangama (Acting)
· Information Officer-Boniface Wambura
 
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

Nashukuru hakuna lawama za Uyanga.
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza, lakini sikupata muda wa kuibua hoja hii humu JF.
 
Wakati wa Tenga waajiriwa wa TFF walikuwa wanasahiliwa na kampuni kama KPMG.sijajua kwa uongozi wa Malinzi.
 
Tuangalie uwezo wao kwa nafasi walizopewa na sio makabila yao...
 
TFF Secretariat is the organ which implements the decisions passed by Executive Committee. It is headed by General Secretary. The General Secretary and Heads of Departments are employed by the Executive Committee.The General Secretary is assisted by five Heads of Departments of Technical, Administration and Membership, Finance,Competitions,Marketing and Events, and the Information Officer who is charged with handling all matters regarding to Mass media and event management. He/she is also a chief adviser on all matters pertaining to Public Relations.
· General Secretary- Selestin Mwesigwa

· Director of Finance - Danny Msangi (Acting)

· Director of Administration & Membership -
· Technical Director – Salum Madadi (Acting)
· Marketng and Event management Director-James Kabwe
· Competitions Director - Idd Mshangama (Acting)
· Information Officer-Boniface Wambura
kati ya hao mhaya ni mmoja!
 
Hizi nafasi zilitangazwa lini?usaili ulifanywa lini?,mhhh bwengas bwana kwa ukabila mnakela.
 
Mbona Malinzi mbona alikuwa anajitokeza sana jamvini baada ya uraisi akasepa Kyoma vp bwana umeniangusha sana katika hilo hata aibu hukuona??!!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom