escober
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 391
- 98
tatizo ni nini kama wana sifa?
Aliofficeyekuambia kwamba watanzania wengine hawana sifa ni nani. Ukataka kutuaminisha kwamba wahay tu ndio wana sifa za kuwa viongozi na sio watanzania wengine. Chukulia nafasi ya katibu mkuu, mwesiga ana degree ya moja tena ya international relation anaachwa mtu kama tandau ambaye ana masters ya michezo na sifa kibao za uongozi wa michezo.
Watu wakabila kama malinzi hawatakiwi kuhold public office