majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
nchi hii wanaoila ni wachaga na wahaya, kidoogo wanyakyusa, sisi wengine tunaukimbiza mwenge tu. Roho inaniuma, harakati za kuikomboa nchi kutoka kwa mabeberu zilianzia pwani, lakini ndio mkoa ambo usio na wasomi wengi. Wilaya yangu ya rufiji haijawahi kutoa hata waziri, kilasiku wabunge tunaletewa tu sio chaguo letu.
unaletewa na nani? Au upo nchi nyingine? Sema tunanunuliwa kwa kofia na fulana za kijani,jimboni kwangu hawaangalii chama wala sura issue ni maendeleo tu ukiboronga nguvu ya umma inakuondosha bila kujali wewe ni chama gani, kuanzia mwaka 1995 tumeshatawaliwa na wabunge watatu kutoka vyama tofauti, tulianza na nccr kashindwa kazi tukapiga chini, tukarudi ccm akaboronga tukampiga chini na sasa ni chadema naye akiboronga hatarudi 2015, wole wenu mnaochagua vyama badala ya utendaji kazi