Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea


unaletewa na nani? Au upo nchi nyingine? Sema tunanunuliwa kwa kofia na fulana za kijani,jimboni kwangu hawaangalii chama wala sura issue ni maendeleo tu ukiboronga nguvu ya umma inakuondosha bila kujali wewe ni chama gani, kuanzia mwaka 1995 tumeshatawaliwa na wabunge watatu kutoka vyama tofauti, tulianza na nccr kashindwa kazi tukapiga chini, tukarudi ccm akaboronga tukampiga chini na sasa ni chadema naye akiboronga hatarudi 2015, wole wenu mnaochagua vyama badala ya utendaji kazi
 
Bahati yako naheshimu kununi zinazo liongoza jukwaa hili, lasivyo ningekupa tusi hilo hata baba yako na mama yako hawajawahi kulisikia. Tena naomba usini quote.
 
***###@@@&&&****+";,!!?%%%&****###@@@ "-----........;;;;;''''''''!!!!!!!!++++++///////€€€€¥¥¥¥¥&#65510;&#65510;&#65510;&#65510;&#65510;®®®®©©©©§§§}}}}]]|||||||_====>>»«\¢¥¡¿=~©°`][|}{><_=~$€¡¿¥&#65510;🙂x-🙂-O:-@:-QXD:-X=-O:-*:O:-/:-$:-|:-!:-O:-@:-QXD:-V<3O🙂;-):-🙂-):-*😵:-/B-):-$:-!x-🙂-|😵:-D:-X:'🙂-\#####*&$¥&#65510;§^`°°]§&#65510;«\¡£¢§^®©.
 
Wilaya yangu ya Rufiji haijawahi kutoa hata Waziri, kilasiku wabunge tunaletewa tu sio chaguo letu.
Bakari Mbonde(MBUNGE-Rufiji 1990-2000) alikuwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka mwaka 1990-95!

Mbonde anatoka Rufiji
 
Mkuu usikarie kukariri, Mbonde unaemsema hakua Mndengereko. Mbonde ni mmatumbi, umesikia?
 

Umeamua kumwaga radhi?
 

Chezeya wahaya wewe! Ukioa mhaya wakati wewe si mhaya jua utapigiwa tu hata uwe askofu wa Kiprotestant! Nilikuwa nacheka kimoyomoyo watu mlipokuwa mnampigia promo Malinzi hapa ukumbini (japo hata aliekuwa mpinzani wake hafai vile vile), maana jamaa namfahamu kiasi (tumepata kinywaji sana pale Kinondoni kwa John Fedha na kampani zake Zacharia Hans Poppe; Francis Mponjoli Kifukwe na Michael Wambura. Tulieni wapenzi wa football wa nchi hii tupigwe michanga ya macho!
 
Umeamua kumwaga radhi?

Mamdenyi; uccm wako unaweka rehani vizazi vyako mwenyewe (kizazi cha tatu hata cha nne nakuambia). Endelea tu na uyafanyayo leo na utayaona haya ninayokwambia leo tena kabla hujaondoka dunia hii!
 
Kazi ipo. Jamaa anatoka na wapoti wenzake mchana kweupee
 
 
 

kwa huyo mwembe anataka kusema jamali malinzi aliwaweka tuu, na hawakupitia utaratibu wa kawaida?
 
kwa huyo mwembe anataka kusema jamali malinzi aliwaweka tuu, na hawakupitia utaratibu wa kawaida?

Kumpata Katibu mkuu vigezo vilivyowekwa vilikiukwa sasa hapo kigezo cha ukabila ndo kilitumika
 
Mkuu usikarie kukariri, Mbonde unaemsema hakua Mndengereko. Mbonde ni mmatumbi, umesikia?
Mkuu,
Hii mada yenu mngeifungulia thread naona mnapoteza dhumuni la hii mada
 
KUNA MAMBO TUNATAKIWA KUJIULIZA KWANZA.

je Jamali malinzi ndio muajiri pekee tff?

Utaratibu gani unafatwa katika kuajiri?

Ni wangapi walijitokeza kuomba nafasi na wenye sifa wakanyimwa?

Waliopewa ajira wana sifa au hawana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…