KingKong77
Member
- Aug 18, 2013
- 32
- 47
[emoji33]Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda
Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?
Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Kazini kwetu tuliwaita "Ndugu" maana nusu ya kampuni ni waoNa kwa kawaida hawa jamaa ni wakabila mno
Hapana English maana wao hata kama hawajasoma wanaongeaAisee......
Kwahiyo wakikutana kwenye vikao wanaweza kuongea Kihaya pia.
Kikubwa alichofanya Malinzi ni nyasi kaitabaMalinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Huu uzi unahusiana vp na Kagera sugar?Kwahiyo hao wahaya wa TFFndio waliosababisha mpaka simba ikafungwa na Kagera sugar?
Usajili wote mliofanya mnataka point za mezani
Uhusiano: Kagera sugar ni timu kutoka kwa wahayaHuu uzi unahusiana vp na Kagera sugar?
Ni kweli mkuu uyanga na usimba ni tatizo kwenye soka letu, lakini katikati ya shida hiyo ukiongezea ukabila tatizo linakuwa kubwa zaidi. jamaa wajifunze kufanya kazi na makabila menginesiasa za Uyanga na Usimba ndizo zinazodumaza mpira Tanzania. period!
hizi timu mbili zikikufwa (na ninaomba sana zikufishwe na zioze kabisa!) hakutakuwa na wa kutuchezea Sub-Sahara Africa.
Lakini Dioniz Malinzi ambaye ni kaka yake Jamal na anayemuweka mjini ni SIMBA damu.Malinzi kama Rais wa yanga wakati huo alishindwa kuwafunga simba sc. Sasa ndio anaona ni wakati wake kuiadhibu Simba SC. Hata huyo Mwesiga sijui katokea wapi kama si Yanga. Mpira Tanzania msahau kama Malinzi pamoja na Mwesiga kama watendaji wa juu wa TFF. Karibu wanamaliza wakati wao hakuna walichofanya kwa mpira wa nchi hii kama ambayo walivyokuwa Yanga hawakufanya cha maana sana ni sababu kila kukicha
Uzi ni ukabila wa malinzi, jenga hoja hapoKwahiyo hao wahaya wa TFFndio waliosababisha mpaka simba ikafungwa na Kagera sugar?
Usajili wote mliofanya mnataka point za mezani
Naunga mkono hoja, huu ndo ukweli! Hatutaki kuongelea ukabila ila hamna jinsi maana Malinzi mdo anatulazimisha, hii haiko sawa kama yeye anaona iko sawa!Rais Malinzi muhaya
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
Huu ni ukabila na kubinafsisha chama kikanda
Jamali Malinzi tunajua ulikimbia JF baada ya kukupa hoja hii,tunaomba utujibu kokote,kwa nini mnaleta ukabila TFF?