Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani anayechagua nafasi hizo zinazohitaji mtu mwenye sifa zinazofaa ni panel au mtu mmoja? Kama Mgogo hakuomba nafasi atachaguliwaje? Nafasi ya kazi inatangazwa, wanaomba watu wa jamii fulani kwa wingi, huoni probability that atakayechaguliwa atatoka miongoni mwa wale ni kubwa?
continue incubating your eggsjamani mmeniacha chalinze, ni lini jamali malinzi amekuwa mhaya?na edo kumwembe nae amehama kabila? jamani au cjaelewa mada? ufafanuzi tafadhali.:sleepy:
.............mhayayelewiii na hapo TRA mbona hampasemi jama kila ofisa ni ..............
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!
Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
jamani mmeniacha chalinze, ni lini jamali malinzi amekuwa mhaya?na edo kumwembe nae amehama kabila? jamani au cjaelewa mada? ufafanuzi tafadhali.:sleepy:
Hadi Shafii kampa rungu?mie Simpend shafiii Dauda