Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Mamndenyi umeona inavyouma eeeh!!! We mwenyewe umejawa na ukabila kwa kuikandia chadema eti ni ya wachaga.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu..........hahaha wanafiki wengi sana ..kila mmoja anatetea maslai yake...
 
Last edited by a moderator:

probability ya katerero
 
Hadi Shafii kampa rungu?mie Simpend shafiii Dauda
 
Nchi hii cjui 2naenda wapi naona waCHAGA wamepumzishwa nw zamu ya waHAYA khaaa!!! !
 
Ni kweli kabisa mkuu,tena bora hata wachaga wana chembe za.utu.lakini hao wahaya loh!
Sehemu yoyote yenye ukabila wana tumia sababu ya"KUKIDHI VIGEZO" kuhalalisha ukabila.

Hizi ni baadhi ya sehemu/ofisi zenye ukabila:
1.DTV,
2.VODA
3.CRDB
4.BANDARI
5.UDSM
6.......endelea
 
shaka yangu ipo kwa wanaotetea uteuzi huu. tunajuaje huenda nao ni wahaya!!!
 
wewe ulishashindwa acha wenzio wafanye kazi ,eti niliwaonya .
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!
 

...ni kama Kikwete alivyofanya!
 
jamani mmeniacha chalinze, ni lini jamali malinzi amekuwa mhaya?na edo kumwembe nae amehama kabila? jamani au cjaelewa mada? ufafanuzi tafadhali.:sleepy:

Lipa bill yako uende home mkuu, naona xmas imekuwa poa
 
Ukabila utalitafuna taifa letu kila sehemu ukabila.
 
Wakati wa Nyerere ilikuwepo pia, tulikuwa tunaita "ndugunaizeshen".
 
Ni kweli kuwa na watu wa kabila sio vizuri japo utendaji wao baadhi yao tunawajua kwa Kukwembe naamini kasema ukweli. Ila mie sio mbaguzi wa kabila,rangi,dini wala ukanda lakini kwa uchaguzi wa sio
 
Kuna Katibu Mkuu Kiongoz mstaafu aliwah kutuhumiwa kuwajaza watu wa Iringa LAPF
 
angeweka na utaratibu uliotumika kwa wao kuwapo hapo, je wameteuliwa au wamechaguliwa? Mfano: Jamal mwenyewe amechaguliwa kwa kura, hivyo hapaswi kuwako katika hiyo list.
 
Chombo cha maamuzi ya uteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi husika kinasimamiwa na Rais wa TFF au mchakato ukoje ili tujue Jamal alihusikaje kupatikana kwa hao jamaa.Kama hali ndio hiyo bora akina Ndolanga enzi za FAT maana hawakuwajaza Wamakonde
 
ibilebi lindungu limetuingiza kwenye mpira sisi na football wapi na wapi...!?kama lingekuwa bandari hivi ningeliambi kuna anko wake bukoba hana kazi limutafutie nafasi.......
hii sasa noma jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…