Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Chadema inaongozwa na kaburu wa kaskazini,Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.
Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.
Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.
Hopeless kabisa!!!
Better were colonial days.
CCM ni makaburu na wakoloni weusi.Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.
Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.
Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.
Hopeless kabisa!!!
Better were colonial days.
Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.
Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.
Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.
Hopeless kabisa!!!
Better were colonial days.
Hawa ndiyo vijana wasomi wa ccm? Basi kazi ipo! Kama msomi anaweza ku jenga hoja namna hii! Kama taifa kuna shida kubwa sanaaChadema inaongozwa na kaburu wa kaskazini,
na sasa hivi kuna kaburu wa Chadema anafadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi ambae anaivuruga chadema na sasa amemega kipande chake saivi π
umekasirika gentleman,kijana wa makaburu? πHawa ndiyo vijana wasomi wa ccm? Basi kazi ipo! Kama msomi anaweza ku jenga hoja namna hii! Kama taifa kuna shida kubwa sanaa
Eti nawe ni kijana msomi wa ccm .kaazi kwelikweliumekasirika gentleman,kijana wa makaburu? π
naskia makaburu ya Chadema yaliyotiwa nguvuni huko mkoani, yameachowa huru bila masharti, ila mvuta bangi bado kang'ang'aniwa πEti nawe ni kijana msomi wa ccm .kaazi kwelikweli