Ukaburu sio rangi, bali ni matendo

Ukaburu sio rangi, bali ni matendo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.

Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.

Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.

Hopeless kabisa!!!

Better were colonial days.
 
Chadema inaongozwa na kaburu wa kaskazini,

na sasa hivi kuna kaburu wa Chadema anafadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi ambae anaivuruga chadema na sasa amemega kipande chake saivi 🐒
 
Hilo mbona Baba wa taifa kasha wahi sema muda mrefu sana "Hatukuwakata na kuwapinga Makaburu kwa sababu ya rangi yao,bali matendo Yao,hata wewe mwafrika ukitenda matendo kama ya Makaburu na wewe ni kaburu tu"Mwl.Nyerere.
 
Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.

Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.

Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.

Hopeless kabisa!!!

Better were colonial days.
CCM ni makaburu na wakoloni weusi.
 
Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi kufanya.

Makaburi hawa ambao wanavaa suti na wengine vilemba na kutembea na magari ya kifahari ya umma, ni watu primitive kupita maelezo. Ni watu waliolewa madaraka na waoga kuliko kunguru.

Nawashauri wavue suti na vilemba wakavae magome ya miti warudi porini wanatutia aibu kabisa.

Hopeless kabisa!!!

Better were colonial days.
 
Chadema inaongozwa na kaburu wa kaskazini,

na sasa hivi kuna kaburu wa Chadema anafadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi ambae anaivuruga chadema na sasa amemega kipande chake saivi 🐒
Hawa ndiyo vijana wasomi wa ccm? Basi kazi ipo! Kama msomi anaweza ku jenga hoja namna hii! Kama taifa kuna shida kubwa sanaa
 
Back
Top Bottom