Namimi naomba kukuuliza kabla sijakujibu kwani wenye diploma na degree wanautoa wapi unyonge wa kukaguliwa na mratibu mwenye level ya cheti..??hukohuko wanapoutoa unyonge ndo wale wanapoutoa huo ujasiri
sorry,me cjaelewa huwa wanawakagua wakat gan? Wanaporpot kazin au akiwa tayar kazin hvyo hukaguliwa mwenendo wake kiujumla,mwenye uzoefu tafadhal.
Yaani karibu nafasi nyingi watu wanapewa na jamaa zao hasa eneo ulilosema ndiyo maana unashangaa inawezekanaje?
Sasa kama unayekaguliwa huna watu hata uwe na digrii utakaguliwa tu cha msingi na muhimu jisimamie kataa kuonewa basi