Ukaguzi Sekondari

Ukaguzi Sekondari

Mbojo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
1,593
Reaction score
1,309
Jamani naomba kuuliza hivi serikali za mitaa zinatufikiriaje kweli mratibu elimu kata mwenye level ya cheti au form four wanapata wapi ujasiri wakuwakagua diploma na degree.
 
Namimi naomba kukuuliza kabla sijakujibu kwani wenye diploma na degree wanautoa wapi unyonge wa kukaguliwa na mratibu mwenye level ya cheti..??hukohuko wanapoutoa unyonge ndo wale wanapoutoa huo ujasiri
 
sorry,me cjaelewa huwa wanawakagua wakat gan? Wanaporpot kazin au akiwa tayar kazin hvyo hukaguliwa mwenendo wake kiujumla,mwenye uzoefu tafadhal.
 
Huko kazini.Tena kwa walimu wazoefu.
 
Yaani karibu nafasi nyingi watu wanapewa na jamaa zao hasa eneo ulilosema ndiyo maana unashangaa inawezekanaje?

Sasa kama unayekaguliwa huna watu hata uwe na digrii utakaguliwa tu cha msingi na muhimu jisimamie kataa kuonewa basi
 
Mie binafsi hana ruhusa ya kukagua nyaraka zangu, kwani akija mtamwambia sina then nione atafanyaje?
 
Yaani karibu nafasi nyingi watu wanapewa na jamaa zao hasa eneo ulilosema ndiyo maana unashangaa inawezekanaje?

Sasa kama unayekaguliwa huna watu hata uwe na digrii utakaguliwa tu cha msingi na muhimu jisimamie kataa kuonewa basi

unajua kuna kasoro zakurekebishwa.Hivi anawezaje kumkosoa mtu hali ya kuwa yeye ndiye wa kuelekezwa?watu wapo wakutosha.
 
kwani anakupunguzia mshahara akikukagua... Think Big. Piga kazi.
 
Back
Top Bottom