Ukali wa Rais Samia ni muhimu kwa utamaduni wetu

Ukali wa Rais Samia ni muhimu kwa utamaduni wetu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea.

Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu hata makatibu wakuu, wakurugenzi nk nao ni wala rushwa .

Wakati mwingine wana hujumu makusudi kama software za bandari kuto kusomana na TRA hili liko huko juu
 
Back
Top Bottom