Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Hili tatizo limekuwa ni kubwa sana. Wataalamu wa afya wamekuwa wakitutaadharisha kuhusiana na madhara ya kutokukamilisha dozi za antibiotics kwamba hiyo hali uchangia usugu dhidi ya bakteria!
Sasa hili tatizo linaloendelea kushamiri tuu katika jamii zetu na kuhatarisha afya zetu, je ni kutokujua? Kupuuzia? Au uvivu?
Sasa hili tatizo linaloendelea kushamiri tuu katika jamii zetu na kuhatarisha afya zetu, je ni kutokujua? Kupuuzia? Au uvivu?