buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Rudi sasa uje uhariri hii habari yakoSokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe
Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Kwani ukanda huo mko nafasi ya ngapi ukiachana na ile michuano ya kagame mlioshiriki?Sokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe
Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Haa TehKwani ukanda huo mko nafasi ya ngapi ukiachana na ile michuano ya kagame mlioshiriki?
ndio maana rage aliwaita mbumbumbu...sio cuf ya lipumba, ni caf ewe kolokoloMmmh hongera yanga kwa kuingia makundi Cuf championship.
Nasikia CAF wote Ni Simba Ni Kweli?ndio maana rage aliwaita mbumbumbu...sio cuf ya lipumba, ni caf ewe kolokolo
Timu sasa hivi mashallah,ila bado kuna matatizo mawili yanasumbua,hayo matatizo yakifanyiwa kazi hakuna timu itakayotamani kucheza na Yanga,japo kwa sasa hata uwepo wa hayo matatizo bado watu watapasuka sana pia kwasababu kuna maeneo mawili muhimu sana ndani ya uwanja Yanga wapo vizuri kuliko timu yoyote ambazo nishaziona.Sokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe
Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Anamaanisha ukanda wa songea.Kwani ukanda huo mko nafasi ya ngapi ukiachana na ile michuano ya kagame mlioshiriki?
ha...ha...haAnamaanisha ukanda wa songea.