Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

Sokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe


Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Timu sasa hivi mashallah,ila bado kuna matatizo mawili yanasumbua,hayo matatizo yakifanyiwa kazi hakuna timu itakayotamani kucheza na Yanga,japo kwa sasa hata uwepo wa hayo matatizo bado watu watapasuka sana pia kwasababu kuna maeneo mawili muhimu sana ndani ya uwanja Yanga wapo vizuri kuliko timu yoyote ambazo nishaziona.
 
Yanga mnanunua mechi ,halafu mnashangilia .Mnajipa tabasamu feki lakini kwenye ligi zisizo na dosari kama CAFCL mnatolewa mapema . Inabidi Tff izibinye hizi timu za Tz ziache kuuza mechi,zicheze mpira kweli .
 
Shikhalo anakuambia yeee mbili tuuuuuu,duka toka kenya limelipiwa hadi vibali vya kazi na kmc..hahahahahahahahahahahaha

yeeeeeeee.jpeg
 
Back
Top Bottom