Binadamu wasahailigu juzi tu team ya kichovu kabisa Rivers imekutoboa nje ndani harafu majukumu ya kimataifa kumwachia simba pekeyake na kujisifu kwa kuifunga kmc haipendeziSokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe
Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Hata lile la tarehe 25/9 lilinunuliwa kwa Manuliwa.Uto.....yaani uto fc ama
Hayo magoli ya kununua kwa kipa...ha ha ha uto bana aibu kubwa.
Hata kule kigoma au tatizo ni ule mwiko uliosokomezwa ndani na lwangaaHata lile la tarehe 25/9 lilinunuliwa kwa Manuliwa.
Hata mwaka jana mlianza hivi hivi. Endesheni tu hilo baiskeli lenu la miti kwenye mteremko,mkifika kwenye kilima mavi yanagonga chupiSokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Akili ndogo!!Mmmh hongera yanga kwa kuingia makundi Cuf championship.
Wakati ni Hakimu.Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Wagosi wa kaya wanena makungwi njoon mwari kanipa mgongo.kitatoka tu kikifika mkwakwani hicho bora ukitunze tena.Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Bwege ww. Yanga ip? MINYANI FC. NGURUWE FCSokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Umemaliza kutukana?Bwege ww. Yanga ip? MINYANI FC. NGURUWE FC
ulibwaji baba ewe kolo?
amino unachoambiwa we kolokoloAisee yaani mechi tatu tu Utopolo mmeridhika kama mmemaliza ligi.
unaakili ndogo sana mpaka uje ueleweUkanda huo unaouongelea ni upi wa Gaza au?
hilo garasa unampostia nani?
mkuu kama mdau wa mchezo...embu toa mapendekezo yako kwa manufaa ya kujenga yanga yetuTimu sasa hivi mashallah,ila bado kuna matatizo mawili yanasumbua,hayo matatizo yakifanyiwa kazi hakuna timu itakayotamani kucheza na Yanga,japo kwa sasa hata uwepo wa hayo matatizo bado watu watapasuka sana pia kwasababu kuna maeneo mawili muhimu sana ndani ya uwanja Yanga wapo vizuri kuliko timu yoyote ambazo nishaziona.