Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

Tushawapa watu kazi maalum wawachezee rafu wakae nje msimu mzima
 
Sokaa safiii...mpaka unafurahi mwenyewe


Hongereni Khalid aucho,fei toto kwa kazi nzuri.
Binadamu wasahailigu juzi tu team ya kichovu kabisa Rivers imekutoboa nje ndani harafu majukumu ya kimataifa kumwachia simba pekeyake na kujisifu kwa kuifunga kmc haipendezi
 
NI kweli wenye uwezo wa kuifunga yanga ni Rivers United peke yake tena nje ndani.
Mnapitwa Hadi na biashara United?
 
Hata lile la tarehe 25/9 lilinunuliwa kwa Manuliwa.
Hata kule kigoma au tatizo ni ule mwiko uliosokomezwa ndani na lwangaa

8B95E6C1-9556-489A-88DF-6ADD6CF9107D.jpeg
 
Aisee yaani mechi tatu tu Utopolo mmeridhika kama mmemaliza ligi.
 
Timu sasa hivi mashallah,ila bado kuna matatizo mawili yanasumbua,hayo matatizo yakifanyiwa kazi hakuna timu itakayotamani kucheza na Yanga,japo kwa sasa hata uwepo wa hayo matatizo bado watu watapasuka sana pia kwasababu kuna maeneo mawili muhimu sana ndani ya uwanja Yanga wapo vizuri kuliko timu yoyote ambazo nishaziona.
mkuu kama mdau wa mchezo...embu toa mapendekezo yako kwa manufaa ya kujenga yanga yetu
 
Back
Top Bottom