Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

mkuu kama mdau wa mchezo...embu toa mapendekezo yako kwa manufaa ya kujenga yanga yetu
Maeneo mawili muhimu ambayo Yanga wapo vizuri kuliko timu zingine

(1) team work ya wachezaji wa Yanga ipo ktk rate ya juu zaidi kuliko timu zingine,mfano timu inapokuwa haina mpira wachezaji 9 wa Yanga wanajishughulisha na kukaba,hii inasaidia kupunguza ile butua butua ya akina Mwanyeto na wachezaji wa maeneo mengine pindi wakipokonya mipira kutoka kwa wapinzani kwa sababu wachezaji wengine wanakuwa tayari wapo karibu yao tena on position utachagua tu wa kumpa pasi kati Bangala,Aucho,Feisal,Moloko na Yacouba.

Hili tatizo Yanga walikuwa nalo msimu uliopita wachezaji walikuwa wanajificha sana timu inapokuwa na mpira na kupelekea kupoteza mipira mara kwa mara.

(2)wachezaji wa Yanga wapo comfortable sana wanapokuwa na mpira hii inawasaidia kukaa nao kwa mda mrefu ambapo inasaidia kupunguza hatari za wapinzani kwa sababu mkiwa mnapoteza mipira mara kwa mara dhidi ya timu yenye wachezaji wajanja wajanja ni hatari sana.

Hili tatizo pia walikuwa nalo msimu uliopita timu confidence ya wachezaji ilikuwa low sana ambapo ilichangia ile butua butua au kucheza mpira mgumu.
 
Kweli kabisa.....vipi kuhusu washambuliaji wetu kama vile kuna vitu bado tunavikosa
 
Shida yenu Utopolo mnataka kila kitu tuseme ndiooo mtu akipingana na hoja zenu mnaona ana akili ndogo. Mara nyingi mwenye akili ndogo huwaona wengine nao wana akili kama zake.
haya sasa kakojozwe ulale sasa
 
mbona ddoma JJ na biashara wapo chini na hatusemi?......zaidi tu unakalibishwa ukaicheki game letu linalofata na azamu ndoo itadhihilisha ubora wa yanga
Acheni furaha za vipindi vifupi vifupi, yaani miaka minne yote hamjifunzi tu? Kama kuna wakati Yanga aliipiga gap Simba basi ni msimu uliopita, maana ilifikia hivi, lakini bingwa akaja kuwa vingine kama mjuavyo




 
Lupweko nakwambiaje..!! Mwaka huu hicho kitu hakiji kutokea.. Ukija ww utapigwa nje ndani na hyo nafasi tutaendelea kushikilia hadi ligi linatamatika.. Hv unaujua uchu wa kombe tulokuanao Yanga... Mwaka huu mtasubiri sana.. Kwanza mpaka sasa hatujaiona timu yoyote ya kutufunga Sie wannchi kwa TZ hii
 
Kuna uwezekano kwa Yanga hii ikamaliza ligi bila kupoteza mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…