Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Timu ilizocheza nazo Yanga kwenye NBC PL mbili katika hizo zipo mkiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
unazungumzia kmc na geita?Timu ilizocheza nazo Yanga kwenye NBC PL mbili katika hizo zipo mkiani
Yeahunazungumzia kmc na geita?
Shida yenu Utopolo mnataka kila kitu tuseme ndiooo mtu akipingana na hoja zenu mnaona ana akili ndogo. Mara nyingi mwenye akili ndogo huwaona wengine nao wana akili kama zake.unaakili ndogo sana mpaka uje uelewe
Maeneo mawili muhimu ambayo Yanga wapo vizuri kuliko timu zinginemkuu kama mdau wa mchezo...embu toa mapendekezo yako kwa manufaa ya kujenga yanga yetu
Kweli kabisa.....vipi kuhusu washambuliaji wetu kama vile kuna vitu bado tunavikosaMaeneo mawili muhimu ambayo Yanga wapo vizuri kuliko timu zingine
(1) team work ya wachezaji wa Yanga ipo ktk rate ya juu zaidi kuliko timu zingine,mfano timu inapokuwa haina mpira wachezaji 9 wa Yanga wanajishughulisha na kukaba,hii inasaidia kupunguza ile butua butua ya akina Mwanyeto na wachezaji wa maeneo mengine pindi wakipokonya mipira kutoka kwa wapinzani kwa sababu wachezaji wengine wanakuwa tayari wapo karibu yao tena on position utachagua tu wa kumpa pasi kati Bangala,Aucho,Feisal,Moloko na Yacouba.
Hili tatizo Yanga walikuwa nalo msimu uliopita wachezaji walikuwa wanajificha sana timu inapokuwa na mpira na kupelekea kupoteza mipira mara kwa mara.
(2)wachezaji wa Yanga wapo comfortable sana wanapokuwa na mpira hii inawasaidia kukaa nao kwa mda mrefu ambapo inasaidia kupunguza hatari za wapinzani kwa sababu mkiwa mnapoteza mipira mara kwa mara dhidi ya timu yenye wachezaji wajanja wajanja ni hatari sana.
Hili tatizo pia walikuwa nalo msimu uliopita timu confidence ya wachezaji ilikuwa low sana ambapo ilichangia ile butua butua au kucheza mpira mgumu.
haya sasa kakojozwe ulale sasaShida yenu Utopolo mnataka kila kitu tuseme ndiooo mtu akipingana na hoja zenu mnaona ana akili ndogo. Mara nyingi mwenye akili ndogo huwaona wengine nao wana akili kama zake.
mbona ddoma JJ na biashara wapo chini na hatusemi?......zaidi tu unakalibishwa ukaicheki game letu linalofata na azamu ndoo itadhihilisha ubora wa yangaYeah
Yanga kwa ubingwa na mafanikio hewa hawajamboSokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Timu second half inakata umeme halafu unausubutu wa maneno hayaRudi sasa uje uhariri hii habari yako
Acheni furaha za vipindi vifupi vifupi, yaani miaka minne yote hamjifunzi tu? Kama kuna wakati Yanga aliipiga gap Simba basi ni msimu uliopita, maana ilifikia hivi, lakini bingwa akaja kuwa vingine kama mjuavyombona ddoma JJ na biashara wapo chini na hatusemi?......zaidi tu unakalibishwa ukaicheki game letu linalofata na azamu ndoo itadhihilisha ubora wa yanga
Karibu na ww ukojozwehaya sasa kakojozwe ulale sasa
Garasa wakati ana magoli mengi ya mashindano ya CAFL msimu huu kushinda utopolo yote au unabisha we kima?hilo garasa unampostia nani?
JJ uludie kusemaTimu second half inakata umeme halafu unausubutu wa maneno haya
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ulimbukeni mbaya sana.Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.